Breaking news:prof maboko asalimu amri udsm.

Wadau,ule mkwara alio uchimba huyo jamaa hapo juu eti kwa continue students lazma 2lipe sehemu ya cost 2nazodaiwa ndo 2pewe bumu le2 umegonga mwamba na hatimae bumu limewekwa tangu majuzi maana wana harakati walikua waisha panga kuwasha moto mapema nxt week..God blec wanaharakat wote wa udsm nd God blec udsm...solidarity forever.
Continue students? Siyo Continuing Students? Hata instructions mnazopewa na chuo hamzisomi nini? Kazi kweli kweli.
 
Someni vijana,ila msikubali kutumika kama Magamba wanavyofanya kwa wanachuo wachache wenye njaa ya pesa.Nyie ndo chachu ya mabadiliko.
 
we rejao acha kuzingua vijana aisee
watasomaje bila bumu? acha hizo peleka uccm wako kwenye jukwaa la siasa huko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom