Breaking news:prof maboko asalimu amri udsm.

naamini pale savei mogombani bar na hill park wiki ijayo patakuwa hapashikiki,
na motel uchwara pale darajani savei kwa ndani watapata wateja sana wa short time.
someni wadogo zangu.sijasema tv za flat na na music system zitapata sana wateja afu baadae utasikia
wanataka kuandamna kisa boom halitoshi.
afu wengine ndo kabisa anahonga boom lote kwa mwenzie ambao wapo chuo kimoja na
wanapokea boom sawa.
wakiishiwa wanaanza kuiba suruali na viatu na laptops kuuza ili girlfriend asiona kaishiwa.
kazi kwenu kizazi kipya.
 
una uhakika?
 
haya msimu wa mavuno huo December njaa na migomo ya kutosha.tengenezeni budget ndogo wadogo zangu.all the best
 
Wadogo zangu tumieni kodi zetu vizuri kwa ajili ya ku-train bongo zenu ku-think critically. Msiikimbie library, iwe ndo nyumbani kila wakati. Na kuna vitu vingi hamvijui kwa hiyo tumieni muda wenu vizuri kwa vile mmepata nafasi ya kuendelea kutoa ujinga basi utoeni kwa kadri mnavyoweza.
Bila kusahau, msiache kujifunza namna ya kuishi pamoja.
 
Wadau,ule mkwara alio uchimba huyo jamaa hapo juu eti kwa continue students lazma 2lipe sehemu ya cost 2nazodaiwa ndo 2pewe bumu le2 umegonga mwamba na hatimae bumu limewekwa tangu majuzi maana wana harakati walikua waisha panga kuwasha moto mapema nxt week..God blec wanaharakat wote wa udsm nd God blec udsm...solidarity forever.

athee.. ah nalikuwa napitapita tu.. kumbe jukwa la ELM liko kii ivi.. oke wenetu basi msome.. tumieni bumu vizuri, hilo ni food allowances sio mobile allowances, ukilimega hovyohovyo linayeyuka hata kabla ya semister kukatika. msipendelee sana mambo ya kudesa.. ukija mtaani hutaendelea kudesa.. maisha hayadeseki..
 
Back
Top Bottom