breaking news-Nafasi za JKT zimetoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

breaking news-Nafasi za JKT zimetoka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zubedayo_mchuzi, Apr 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  wale wote wanaopenda kwenda JKT nafasi zimetoka,Wanahitaji watu 350,elimu kuanzia Shule ya msingi mpaka elimu ya juu. Kwa maelezo fika ofisi ya mkuu wa wilaya,ofisi ya mshauri wa mgambo mkoa ulipo,
  Hakikisha.
  Original birth certificate
  Original academic certfcte
  Barua ya uthibitisho wa makazi kutoka kwa m/mtaa/mtendaji
  AGE-18 TO 23
  MAFUNZO NI MIAKA 2

  updates za leo ofisi ya wilaya ya kinondoni
  Baada ya kufika pale nilikuta vijana wengi wakisubiri usaili wa jeshi,gafla nikamuona afande mmoja ana v mbili nikamfata na kuanza kumuuliza maswali..

  swali langu la kwanza ni kuwa katika NAFASI HIZI WENYE UJUZI MNA WACHUKUA afande akajibu HATA KWENYE MSAFARA WA MAMBA KENGE NAO WAPO...NENDA JUU KAWAPE DETAILS ZAKO.....

  Nawatakie kila lakheri muendao huko.

   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  hizo kazi umetangaza wewe au?
   
 3. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Je kwa sisi ambao tumemaliza 4m 4 mwaka jana inawezekana,coz hatuna Original Academic Certificate hazijatoka. Ufafanuzi plz
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wenye haja Nazo watafatilia nini kinaendelea kama hayakuhusu kaa pembeni.
   
 5. o

  olomi Jr. Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure zimetoka! Mlikuwa mnaulizia kila siku leo zimetoka mnaelekezwa mahal pa kupata info. Bado mnazingua.
   
 6. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante kwa taarifa mkuu, ila mwenye details zaidi atuwekee
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kuna watu wa humu wanafikiria kwa masaburi...
   
 8. J

  John Gelas Senior Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nasikia jkt hakuna malipo bali kuna posho je? Ni shs ngapi?.NIJIBU
   
 9. J

  Jovinille Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vigezo vipi vinahitajika namaanisha umri naomba msaada tafadhal
   
 10. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  350 kwa nchi nzima? Vijana wetu 150,000 waliopata zero mwaka jana watafanikiwa maana ndo lilikuwa kimbilio lao.
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wakuu mi nilimaliza kitambo kidogo form 4 mwaka 2005. Vip naweza pata nafasi umri wanahitaji kuanzia miaka mingapi na mwisho mingapi??

  Vipi wakuu vigezo vingine ni vipi??
   
 12. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ngoja nijiandae nilikuwa nimelala kuzsubili
   
 13. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Je za uPOLISI zinatoka lini?
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kwa taarifa zaidi fika ofisi za mgambo mkoani ulipo utapata info ya kutosha.
   
 15. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  don let the shade of opportunity pass yu
   
 16. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Ni kweli inakera, lakini ukitumia lugha laini kuwajibu inasaidia sana kuwajaza "stress" hivyo kushindwa tena kukurupuka kuchangia jukwaani.
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  watu tunazungumzia JKT mtu mwngne anauliza police huku akijua kuwa Nafasi za police zimetoka kwa form six wanaosubiri matokeo tu.

  Na zilishawekwa humu,
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Zamani kazi ya jeshi ilikuwa ni option ya mwisho kabisa, lakini siku hizi!! aisee ajira ni ngumu mno.
   
 19. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hizo nafasi 350
  ni kwa nchi nzima au mkoa mmoja tu?
  Maana ukisema hivyo una maanisha kila wilaya wasizidi watu 3
  AU
  ulitaka kuandika 3500
  ukasahau ukaandika 350?
   
 20. E

  Emanuel goodluck New Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp jwtz wanareliz lini ma oppotunity tukalinde taifa..
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...