Breaking news:mwakibinga ahamia act-wazalendo leo

Breaking news:mwakibinga ahamia act-wazalendo leo

Yule mwanasiasa na mpigania haki machachari na nguli toka enzi za chuo kikuu udom na aliekua na nafasi za juu katika chama cha chadema, amehamia act-wazalendo rasmi leo muda huu.

Source ni mi mwenyewe na niko nae hapa sasa.

Uko naye..msalimie, ila hatumjui
 
Kuna hoja za kijinga kweli eti anaenda kugawa kura za upinzani.

Kwa hiyo kama haridhishwi na maamuzi ndani ya CDM akae tu?
 
Yule mwanasiasa na mpigania haki machachari na nguli toka enzi za chuo kikuu udom na aliekua na nafasi za juu katika chama cha chadema, amehamia act-wazalendo rasmi leo muda huu.

Source ni mi mwenyewe na niko nae hapa sasa.

Amaliza shule kwanza, ashike elimu hilo ndio la msingi ili aweze kuwasaidia wazazi wake.... Angeachana na siasa na kushikilia elimu japo amalize hata kadegree kamoja
 
Hahahaaaaaaaaaa vichaa wa Chadema hamnazo haswaaaaaa ndio maana mkaitwa Bavicha ( Baraza la Vichaa Chadema)
 
Oil chafu na Makapi hayo, UDOM Nacho ni chuo.

Kwa taarifa yako binafsi nlitokea UDOM (2013) na nmetengeneza ajira kwa hakili hiihii ya UDOM..na moja ya ya volunteer kwa organization nayoongoza (mwanza) katokea Udsm..Mwaka wa pili huu hana ajira na GPA yake namuweka mjini..watch those buttons b4 you press to type!
 
Back
Top Bottom