Breaking news: Mpaka wa Tunduma wafungwa vurugu kubwa

Siamini kama imewahi tokea hii.... Huo ni moja ya mpaka ambao uko so peaceful na hao watu hujichanganya kabisa bila tatizo. Ni mpaka ambao mtu aweza vuka kwenda inchi nyingine na Migration wakakuangalia tu wapita. Sad...... I hope watarudi normal.
Weeee........huu mpaka ni mbaya sana kwa fujo za kupigana kwa wafanyabiashara wadogo.........!!

Nafikiri unaongoza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…