Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Naona kwa wengine April fool imeshawadia.
sawa mkulu wa band tunazisubiri hizo brikingi nyuzi
Naona kwa wengine April fool imeshawadia.
ungeileta kesho, au jana leo hiiiiii, umenoaaaaa April firstmajeshi ya Ouattara yamevamia makazi ya rais anayengangania madaraka gbagbo ya inasemekana kuwa Gbagbo kapigwa risasi katika mashambulizi.
nipo nacheki tv hapa nitaendelea kuwaupdates
Yupo na anadunda uzuri sana isipokua kaelemewa kiukweli kijeshi hadi usiku wa hapo jana.