Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa mabomu yanalindima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa mabomu yanalindima

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbaga Michael, May 4, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Wanafunzi wa
  Chuo cha Mkwawa wafunga njia
  maeneo hayo wakidai pesa zao
  (Boom) vurugu zinaendelea na
  wamempiga FFU mmoja mpaka
  muda
  huu taarifa inakuja hapa studio
  za radio free afrika hali ilikuwa si
  nzuri.
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  aah.haya mambo yapo tu.
   
 3. M

  Mboerap Senior Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Madai. Maandamano, mabom. Tz sasa wala sii ajabu
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Huku linatangazwa baraza la walaji(mawaziri) ukigeuka huku mabomu na maji washa!!! hii nchi inachosha sana akili
   
 5. k

  ksalama0 Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mchakamchaka chinja ali selema alija!! Hiyo ndiyo kuelimika zaidi maana ukiona dhuruma inatendeka na umesoma huchukui hatua yoyote elimu haijakusaidia. Kwa hali hiyo elimu imewasaidia kwa kuwa wametambua uozo wa viongozi wao.

  Ni haki yao kuidai maana wakimaliza huko watakuja kukutana na 8% watakazokatwa kwenye mishahara yao bila zengwe. Kwa nini Bodi watoe pesa kwa zengwe wakati kukata wanachukua kiulaini?
   
 6. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aagh.. TZ Wwee.. huishi visa
   
Loading...