Kwa hiyo huyu ni mtoto wa CHADEMA au umekosa cha kuandika.....Hii sio udaku tafadhali.
Gazeti la Mtanzania leo Jumamosi 30/04/2011 linaongozwa na habari hiyo, " Slaa Kidume"!
In detail, linasema kuwa mahakama Arusha ilifahamishwa jana kuwa Bi. Josephine Mushumbusi (First Lady) anatarajiwa kujifungua mtoto kwani ana mimba ya miezi nane na wiki tatu!
Huyo mtoto si atakuwa mpiganaji through and through?!
Mi napendekeza jina lake liwe BAVICHA!
Duh hii kali ngoja niwasubiri wenyewe watakuja kuparura.Ningekuwa mshauri wa Dr Slaa ningemshauri afunge uzazi huyo mtoto atakuwa mjukuu au mtoto.

mpelekee na waifu wako si nasikia hajajaaliwa.