mh,hvi kuna watu bado wanasikiliza matangazo thru SHORTWAVEZ.?
BBC idhaa ya kiswahi itafunga matangazo yake kupitia band ya short wave(SW) mwaka huu. Pia idhaa ya kireno na nyingine nne zinazotanga ulaya mashariki zitafungwa kabisa. Hii inatokana na nakisi (ufinyu) wa bageti wa serikali ya Uingereza. Source: BBC NEWS.
kama sikosei hata hiyo bbc inaporusha kwa fm ni lazima uikamate ktk short wave baadae unaiunganisha ktk radio station nakurusha ktk fm.mh,hvi kuna watu bado wanasikiliza matangazo thru SHORTWAVEZ.?