Breaking News.Basi la Mohamed Trans.

Breaking News.Basi la Mohamed Trans.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
BREAKING NEWS

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.Sio kila siku taarifa za majanga tu, unashangaa nini sasa?
 
Naona hazikutoshi. Usiwaletee nuksi watu. Mbuzi kula majani haiwezi kuwa habari, ila akila nyama hiyo ndio habari.
 
BREAKING NEWS

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.Sio kila siku taarifa za majanga tu, unashangaa nini sasa?

Ngedere wewe
 
duh wakuu kumbe hii kitu mliichulia serious?!!.nilifanya utani tu ila nilikosea jukwaa.:eyebrows::eyebrows:
 
Hiyo umefikiria kweli.
wakuu kumbe hii kitu mliichulia serious?!!.nilifanya utani tu ila nilikosea jukwaa.:eyebrows::eyebrows:[/QUOTE
 
Binga si mbaya kama hujaivutia chooni!!
 
BREAKING NEWS

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.Sio kila siku taarifa za majanga tu, unashangaa nini sasa?

Breaking news iko wapi? Tumia busara au hama jukwaa.
 
Wauguzaji vipi? huyu mtu mmesahau tena dozi yake leo. mnaona vitu anavyofanya? mdungeni sindano yake ya umento banaaa
 
BREAKING NEWS

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.Sio kila siku taarifa za majanga tu, unashangaa nini sasa?

Mkuu ushawahi kuchomekewa mti wa mwiba kwenye ndukum ?
 
Back
Top Bottom