Breaking news:Basi la meridiani lapata ajali.

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Basi la meridiani linalofanya safari zake dar to rombo tarakea limepinduka maeneo ya mamba kisambo jioni hii 6 wajeruhiwa.
 
Poleni sana shemeji zangu Wachaga na wengine waliokuwemo kwenye Basi. Hilo eneo la Kisambo nalifahamu lina kona kona za hapa na pale. Nadhani ni ajali ya bahati mbaya maana haya magari ndiyo 'King of the road' kwenye hiyo route..
 
Jifunze Kiswahili Siku Nyingine Ukisema Basi Limepata Ajali basi Lazima Utupe na Idadi Ya Watu WALIOKUFA na Kama Basi Limepata tu Ajali na Halijaua Mtu Yoyote basi Kwa Kiswahili Fasaha Unatakiwa Kusema Basi LIMETELEZA na LIMESIMAMA tu Eneo la Tukio ( Ajali ). Hicho Ndicho Kiswahili Maalum ( Sanifu ) Kwa Mikasa.
 

kwa lugha hii uliotumia hata mimi sijui kiswahili kabisaaaa............
 

pokea division 5 ya Mulugo
 

acha kudanganya watu kilaza wewe.
 

mmmhhh
 


Wakutengenezee Div maalum kwa kiiwango chako cha ufikiri,nadhani Dv 9 itakufaa!
 
Takribani miezi mitatu iliyopita lilipiga mweleka tena maeneo ya pwani likiacha raia wachache vilema na wawili kupoteza maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…