The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,068 13,485 May 9, 2016 #2 Huyu asemehewe tuu aliakua anaenda kuweka kwenye uji shuleni.
Mbimbinho JF-Expert Member Aug 1, 2009 8,328 7,774 May 9, 2016 #4 Hahahaaaa., that's funny. Ina maana polisi wameishiwa pingu pia?? Au kakamatwa na migambo?
Mayala masuka JF-Expert Member Jan 22, 2014 448 795 May 9, 2016 #5 hamna namna nyingine, tugawiwe wananchi wazalendo tu! hata kama ni robokilo.
bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 May 10, 2016 #6 Jambazi said: Click to expand... Yalaaaah
sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,834 1,055 May 10, 2016 #7 mh haya sasa hpo vitagawiwa vijiko vingapi #
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 May 10, 2016 #8 ha ha ha aisee yaani nimebaki kucheka tu aiseee
M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 6,003 9,450 May 10, 2016 #9 Mbavu zangu dogo mbunifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu .
gnassingbe JF-Expert Member Jun 14, 2015 4,826 3,574 May 10, 2016 #13 Mbimbinho said: Hahahaaaa., that's funny. Ina maana polisi wameishiwa pingu pia?? Au kakamatwa na migambo? Click to expand... Ulinzi shirikishi migambo wana pingu!
Mbimbinho said: Hahahaaaa., that's funny. Ina maana polisi wameishiwa pingu pia?? Au kakamatwa na migambo? Click to expand... Ulinzi shirikishi migambo wana pingu!
robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 May 10, 2016 #14 mwivi kafurahia adhabu
lukesam JF-Expert Member Feb 23, 2015 12,574 26,201 May 10, 2016 #15 Huyu ni mhujumu uchumi..afunguliwe mashtaka mara moja!