Mkitoka hapo mnaililia serikali iwasaidie chakula, Magufuli aliwaweza sana.
Ulafi na uvivu wa kulima wakati nchi ni ya kijani
Umekunywa chai?We utakuwa mvivu wa kufikiri bila shaka [emoji848][emoji848][emoji848]
YapUmekunywa chai?
Acha kusingizia wa mkoani. Hapo panaonekana wazi kuwa ni Dar na maji yenu ya Afya.