Breakfast yetu sie wa mkoani...

Breakfast yetu sie wa mkoani...

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
c441fde35104ff2d27567d798e95892a.jpg
 
Mkitoka hapo mnaililia serikali iwasaidie chakula, Magufuli aliwaweza sana.

Ulafi na uvivu wa kulima wakati nchi ni ya kijani
 
Mkitoka hapo mnaililia serikali iwasaidie chakula, Magufuli aliwaweza sana.

Ulafi na uvivu wa kulima wakati nchi ni ya kijani
Tungekua wavivu wa kulima huko mjini si ndio mngekula mawe, unajifanya hujui kuwa asilimia 95% ya mnachokula huko mjini kinatoka shamba mkoani?
Unaonyesha ulivyo mvivu kufikiri...
 
Tungekua wavivu wa kulima huko mjini si ndio mngekula mawe, unajifanya hujui kuwa asilimia 95% ya mnachokula huko mjini kinatoka shamba mkoani?
Unaonyesha ulivyo mvivu kufikiri...
Tulia we mkinga, kama unahisi wewe ndiyo unailisha Dar kumbatia hayo mahindi yako basi halafu uone
 
Tulia we mkinga, kama unahisi wewe ndiyo unailisha Dar kumbatia hayo mahindi yako basi halafu uone
Hahaaa povuuu la mla chipsi na miguu ya kuku tandale utalijua. Pole kijana
 
Ifi fiasi finalimwa sana Mbeya ila watu Wa Mbeya hatufili wanafila watu Wa Dar
Mkuu nilikua huko kwenu mbeya kijijini kidogo mwaka juzi tukaenda sehemu nikaagiza vyepe vya buku, hilo lundo lililokuja nusuru nikimbie karibia vingejaa sado.
Mbeya nawakubali sana kwa kilimo mkuu
 
Mkuu nilikua huko kwenu mbeya kijijini kidogo mwaka juzi tukaenda sehemu nikaagiza vyepe vya buku, hilo lundo lililokuja nusuru nikimbie karibia vingejaa sado.
Mbeya nawakubali sana kwa kilimo mkuu
Mkuu kule kwetu hakuna njaa, chakula kule tunakula popote sio mpaka nyumban kwako
 
watu wamikoan mnakulaga sana...ndo maana mkitaka kuja mjini kututembelea tunawakwepa...kwa mtido uwo wakula kama mnaenda kaburin ...amuwez kuwa na maendeleo.
 
Back
Top Bottom