Breakfast ya wanaume wa Dar V/S wa Mikoani!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
6,002
Supu ya mbuzi, chapati na kapilipili(Dar) VS viazi vitamu, boga, asali na chai ya rangi(Wa mkooani)
Jee nani mjanja hapa?
 

Attachments

  • IMG_20160405_092114.jpg
    94.2 KB · Views: 163
  • IMG_20160330_093910.jpg
    90 KB · Views: 163
Wanaume wa kweli, wanaume wa kazi menyu yao hii hapa
 

Attachments

  • tembo 3.jpg
    24.6 KB · Views: 106
  • tembo33.jpg
    60.6 KB · Views: 90
Unajua wanaume wa mkoani wana shida sana. Kama mtu unaweza wa kununua supu kwanini usinunue. Ndo maana nikasema mazingira hayafanani.
Tatizo hawana [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
Sasa ili kuzuga ndio wanajifanya wanakula healthy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…