bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,342
- 23,415
Hakuja kupumzika huyu , Hapa kazi tu ki uchumi wa katiHivi unapumzikaga kweli wewe ile kitu maana mmh
Hakuja kupumzika huyu , Hapa kazi tu ki uchumi wa katiHivi unapumzikaga kweli wewe ile kitu maana mmh
hio hela ya nyama unaitafutaje labda?Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu.
Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie.
sio kwamba nakashfu ila kiukweli nikionaga mtu anakunywa pombe kali na hizi ernegy nahisi kama anajifunza kunywa pombe