Breakfast ya Bushmamy na Bushdaddy

Breakfast ya Bushmamy na Bushdaddy

Hahaha siogopi mkuu, ila mimi naiona fursa tu katika upande huo. Hizo sumu watu wanabugia sana. Pombe ngumu tena za rangi mixer energy jamani ni kuua figo tu huko.
.....hahhaaa...Basi changamkia fursa...unaweza kunywa wewe mwaka tu ukawa hoi..akanywa mwingine akadunda tu
 
Yeah, ni kweli. Mambo ya genetics pia yanachangia. But ki ukweli ki afya pombe kali za rangi na kuchanganya na hivyo vinywaji nishati sio vizuri kabisa. Sijawahi kunywa pombe, ila siwezi kumnyima mtu kunywa pombe au kumkataza. Japo naweza kudiscuss nae mambo kadhaa kuhusu faida, hasara na madhara kiujumla ya utumiaji wa pombe.
 
Don worry mzee Baba mwisho wa siku, anaekunywa na asiekunywa wote kaburi linatungoja
 
Hahaha siogopi mkuu, ila mimi naiona fursa tu katika upande huo. Hizo sumu watu wanabugia sana. Pombe ngumu tena za rangi mixer energy jamani ni kuua figo tu huko.
Nyie mnaosema ni fursa mnaweza mkatangulia na sisi ambao ni fursa tukabaki tunapeta tu duniani huku😜😜
 
Don worry mzee Baba mwisho wa siku, anaekunywa na asiekunywa wote kaburi linatungoja

Ni kweli, ndio maana nimesema siwezi kuhukumu wala kukataza. Kila jambo lina sababu. Na majira pia yana maana zake.
 
Back
Top Bottom