Ngoja aje mtu atujibu. Hiyo Energy na hizo karanga zimeonyesha tupo wote bongoMimi sio zungu mzee na wala sipo ulaya
Wewe umemaanisha pini kifaa.Hiyo pini ina uhusiano wowote na kinachoendelea hapo?
Madame umeelewa pini mwanamke.Bushmamy huyo
Valuer naonaga inaunguza Koo...afu mwili unachemka mbaya ..Aku..enjoy maa!Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu.
Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie.
Hahahahahaa...kwamba bila mamen nyie si lototeðŸ¤ðŸ¤¸Haaaaa Haaaaa 😂, nilikataa mkuu, hii kundi letu linaratibu sana kura ya Nato.
Mmoja akisema no, hakuna anaejikuna
Mie valuer ndo nimepiga leo, last time kunywa nilivokuwa chuo Dia wangu.
Hapa natafuta hela ya nyama yenye mafuta mafuta nishushie.
Vipi unasumbuka?Mwanamke mlevi
Njoo chukua kutuma hairaiTuma wekundu mbili mzee, zinatosha nyama
Nikitumia hii kitu then Mama yeyoo anipe ile kitu ina meza mwenzake inakua WW3Kivip kijana