Breakfast uswazi!!!

Breakfast uswazi!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Picha linaanza hamna meza mwendo wa ndoo
IMG20211102092023.jpg
 
uswazi kwenu papo vizuri mkuu

huku napopajua mimi, kwanza mihogo ina kachumbari na chachandu zisizo na ushirikiano.. Mwendo wa sahani ya plastic na inalika kwenye mkeka kwa wastaarabu ila kwa kawaida kwenye floor iliyojichokea haina marumaru wala chochote zaidi ya mashimo

sambusa zenyewe ni za viazi, ukichukua chapati, bagia, vitumbua au maandazi bhasi jua utafungiwa kwenye gazeti ama ukibahatika utapewa vifuko laini vilee 😂

uswazi hupati tabu ya chai maana kikombe hadi mia mbili na ishaungwa sukari na pembeni kuna foleni ya wamama wanauza kila kitu nje ya mlango tu, bufee ya hela yako tu 😊😊😊
 
Naona uswazi kwenu umeamua kufunga choo na hayo mangano yako na soseji, siku ukinya njoo utupeleke huko uswazi tukapaone😎
 
Back
Top Bottom