Hahahaa ukitaka jua utofauti wa maisha ndo upitie post kama hizi...mimi nimetoka kupiga ugali wa uwele na mlenda wa swalu pembeni kipego cha mtindi umeungwa kwa asali.
Hapa watanielewa wenzangu tuliohamia Idodoma.