donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Chapati tena...aweze wapi...atakuwa katuma mtoto wa jirani anunue sehemu!!Na hizo chapati umepika wewe ama za kununua?
Wakuu leo nimekomaa mwenyewe kibishi kutoa breakfaa magetoni baada ya shemeji yenu kukimbia kisa hawezi maisha ya sukari guru, nikaona sio kesi mi mwenyewe shefa matata my mama taught me a lot of things including cooking while I was still young.
Hahaha pole mkuuUmeniongezea njaa.....nimetoka usingizini
Kweli mkuu, I cook by myselfSafiiìiiiii....mkeo atapata raha
Chapati hazipikwi mkuu, zina kaangwa, yeah I did em by myselfNa hizo chapati umepika wewe ama za kununua?
Mkuu full diko nimetoa mwenyeweChapati tena...aweze wapi...atakuwa katuma mtoto wa jirani anunue sehemu!!
Asante mkuuKama ni ww ndo umepika...hongera sana
Acha wivu jamani,loooooh!naona kuna kikombe cha uji wa ulezi. ukishushia na uji utakuwa umetengeneza sabuni tumboni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] JF hii watu wabaya sana,wewe unaweza hata kutengeneza hizo mkuu?Ndio.
Naona chapati zimepoteza kabisa mduara wake wa asili.
Ndio maana mke kakimbia nini?Naona chai imekolea sukari gulu mpaka imefanana rangi.