iti izi vere ize fo mii....
How do you break up with someone? U know may be you just dont have the feeling anymore or u never really love them the way they loved u... or whatever reason it is but u wanna break up...
How to do it?
Au mmeo/mkeo mnagombana then anakuambia utanikumbuka weeee ngoja utanona tuu...jamani sasa kama yeye ni mkosaji utakumbuka nini sasa jamani au!Huyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why I say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....
Tell her/him the fact. Unakuwa umejiweka kwenye misingi ya kutorudia matapishi tena.. Lakini usipomwambia, unakuwa umemuweka kiporo, na hujiamini na unachotaka kukifanya.
huku huwa ni kujilinda tu hakunaga cha ziada kwenye hiloAu mmeo/mkeo mnagombana then anakuambia utanikumbuka weeee ngoja utanona tuu...jamani sasa kama yeye ni mkosaji utakumbuka nini sasa jamani au!
Dah! We ni he/she?Unapokutana nae usijiweke msafi hakikisha unanuka kupu la mwilini kwa hali hiyo ataanza kulala mika na wewe utampa visababu kuwa huna wakati wa kujitengeneza hilo litamfanya atoke kinu mwenye .