Breach of Pension Payments Data in Tanzania: An Urgent Concern

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,702
It has come to our attention that a few weeks ago, there was a breach of pension payment data. This breach has led to a situation where some beneficiaries have been abducted, with the abductors demanding the pension money they were recently paid.

For example, one woman was abducted at Mlimani City and later dumped at Mwambepande after being beaten for around six hours to force her to reveal the location of her pension money.

Furthermore, some information suggests that certain bank accounts of beneficiaries were closed by banks during the same period due to suspected unusual activities.

This raises several questions: Who leaked this data? Was it the banks or the authorities? How did these individuals obtain this information?
 
Attachments

  • pension_Breach_Tanzania.png
    pension_Breach_Tanzania.png
    6.3 MB · Views: 19
Hii itakuwa mambo ya maokoto tu ya wastaafu...wanaibiwa sana, ama kwa nguvu au kwa hiari.

Kumbuka watumishi wa benki ni walafi, wa serikalini ni walafi, wa kwenye taasisi ni walafi, ndugu pia wanazo hesabu zao....
 
It has come to our attention that a few weeks ago, there was a breach of pension payment data. This breach has led to a situation where some beneficiaries have been abducted, with the abductors demanding the pension money they were recently paid.

For example, one woman was abducted at Mlimani City and later dumped at Mwambepande after being beaten for around six hours to force her to reveal the location of her pension money.

Furthermore, some information suggests that certain bank accounts of beneficiaries were closed by banks during the same period due to suspected unusual activities.

This raises several questions: Who leaked this data? Was it the banks or the authorities? How did these individuals obtain this information?
Tatizo ni bankers wasio waaminifu
 
Hii itakuwa mambo ya maokoto tu ya wastaafu...wanaibiwa sana, ama kwa nguvu au kwa hiari.

Kumbuka watumishi wa benki ni walafi, wa serikalini ni walafi, wa kwenye taasisi ni walafi, ndugu pia wanazo hesabu zao....
Wapo waliofungiwa huu Mwezi wa 7 kwenda 8 hawajapewa kiinua Mgongo chao kisa eti hawajauhisha taarifa zao kwamba bado wanaishi au tayari wameshakufa kwa hio wameambiwa warudi tu majumbani kwao watalipwa pesa zao Mwezi wa 9 baada ya kuuhisha taarifa zao kwamba bado wapo hai, kumbuka hawa wazee hawajui kutumia mitandao na wengi hawajui masuala ya mitandaoni
 
Hilo ni tatizo la kimfumo ambalo hawataki kulirekebisha makusudikali kwakuwa lina kiharufu cha kuwanufaisha majizi!

Whether yupo hai au amekufa, kama miaka 12 haijatimia, kuna shida gani kuendelea kuweka pesa zake huko?
- Akifa, si hati ya mahakama na death cert zipo kutoa taarifa kuwa huyu hayupo tena na fulani ndo amekaimishwa madude? Tatizo li wapi?

Majizi ni kama wachawai tu, wakianza kula watu, watawala tu mpaka mwisho.
 
Ndio wamewanyima pesa zao za Mwezi wa 7 kwenda wa 8 kisa ni hicho na hawajawapa wamewagomea kabisa kabisa mpaka Mwezi wa 9 wamewaambia wasubiri wawe wapole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom