William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Tanzania Mbeleee!! Mkuu wakipuuza watajifunza kitu this tyme.inashangaza sana watu kushindwa kusoma alama za nyakati! Ni hatari kuwa na viongozi wasioweza kupima joto halisi!Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali sana sisi, sio siri katiba tuliyonayo sasa iliundwa zamani sana kukidhi mahitaji ya chama kimoja, sasa wakati umefika wa kuibadilisha ili ikidhi mahitaji ya vyama vingi tulivyonavyo na hasa UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA JUU NA CHINI WA TAIFA!
- Binafsi nimekuwa nikiwakemea sana Chadema kwa makosa ya kina Mtei, huko mwanzoni ya kukubali kuanzishwa siasa ya vyama vingi under Katiba ya Chama kimoja, now ninashukuru kwamba this time wameliona hilo kwamba wananchi tumechoshwa na kuuuziana mbuzi kwenye gunia, CCM tuache uoga na kukubali kwamba kwenye hili la katiba ni lazima tubadilishe katiba au else, I mean sometimes enough inakuwa enough!
- KWA HILI LA KATIBA BRAVO CHADEMA TUPO WOTE!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
Tatizo langu ni pale ambapo watu kama wewe wanaona chama kinafanya upuuzi na kuendelea kulialia eti kwa sababu ni "CHAMA CHANGU"! Kwa nini mnakosa ujasiri wa kuachana nacho hata kama ikibidi mkae uraiani kama watu huru?
Kwa nini hadi hapa hamuoni damage ambayo chama chenu kimeshatufanyia??
Kwavile anajua yeye na kizazi chake wanamaisha marefu Tanzania kuliko hao wazazi. Billy uwe unatusaidia informally huko nyumbani basi kabla hatujawatimua kwa aibu kupitia njia za Tunisia na Msri...Japo hiyo nayo yaweza tumiwa vibaya kama walivyomfanyia Gadafi..Wewe unaweza leta mgogoro kwenye familia yako. Tuseme unapingana na mama yako? Umemsikia alivyosema?. Hongera kwa ujasili wa kuongea maneno haya. Kumbe huwa mnafanya makusudi.
Basi kwa kuwa umeona kosa lilipo tusaidie kuwaelimisha wenzio ambao hawaja ujua ukweli. Mungu awafungue akili wote walio kwenye kundi lako ili wawe na mawazo haya uloyasema.hakika tutafika kwenye Tanzania tuitakayo
- Tatizo ni kwamba hakuna alternative, yaani chama kingine cha kukiamini!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharias!

Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali sana sisi, sio siri katiba tuliyonayo sasa iliundwa zamani sana kukidhi mahitaji ya chama kimoja, sasa wakati umefika wa kuibadilisha ili ikidhi mahitaji ya vyama vingi tulivyonavyo na hasa UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA JUU NA CHINI WA TAIFA!
- Binafsi nimekuwa nikiwakemea sana Chadema kwa makosa ya kina Mtei, huko mwanzoni ya kukubali kuanzishwa siasa ya vyama vingi under Katiba ya Chama kimoja, now ninashukuru kwamba this time wameliona hilo kwamba wananchi tumechoshwa na kuuuziana mbuzi kwenye gunia, CCM tuache uoga na kukubali kwamba kwenye hili la katiba ni lazima tubadilishe katiba au else, I mean sometimes enough inakuwa enough!
- KWA HILI LA KATIBA BRAVO CHADEMA TUPO WOTE!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali sana sisi, sio siri katiba tuliyonayo sasa iliundwa zamani sana kukidhi mahitaji ya chama kimoja, sasa wakati umefika wa kuibadilisha ili ikidhi mahitaji ya vyama vingi tulivyonavyo na hasa UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA JUU NA CHINI WA TAIFA!
- Binafsi nimekuwa nikiwakemea sana Chadema kwa makosa ya kina Mtei, huko mwanzoni ya kukubali kuanzishwa siasa ya vyama vingi under Katiba ya Chama kimoja, now ninashukuru kwamba this time wameliona hilo kwamba wananchi tumechoshwa na kuuuziana mbuzi kwenye gunia, CCM tuache uoga na kukubali kwamba kwenye hili la katiba ni lazima tubadilishe katiba au else, I mean sometimes enough inakuwa enough!
- KWA HILI LA KATIBA BRAVO CHADEMA TUPO WOTE!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
- Tatizo ni kwamba hakuna alternative, yaani chama kingine cha kukiamini!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharias!
Tatizo langu ni pale ambapo watu kama wewe wanaona chama kinafanya upuuzi na kuendelea kulialia eti kwa sababu ni "CHAMA CHANGU"! Kwa nini mnakosa ujasiri wa kuachana nacho hata kama ikibidi mkae uraiani kama watu huru?
Kwa nini hadi hapa hamuoni damage ambayo chama chenu kimeshatufanyia??
- Tatizo ni kwamba hakuna alternative, yaani chama kingine cha kukiamini!
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharias!
Usimlaumu Mzee Mtei. Nadhani zaidi tatizo sio kina kina mzee Mtei waliotunga mfumo uliopo bali kina mzee baba yako wakati wa utawala wao ulioisha unceremoniously.... nimekuwa nikiwakemea sana Chadema kwa makosa ya kina Mtei, huko mwanzoni ya kukubali kuanzishwa siasa ya vyama vingi under Katiba ya Chama kimoja
William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
Kamanda kama unavyojuwa mimi sina chama,unafahamu hilo toka nimejiunga JF na wewe kunipokea hapa mimi na wengine wetu.