Bravo Joyce Ndalichako


Kama suala la kuvuja mitihani lipo wazi hivyo anajitia kitanzi kwa vile ndiye mwenye dhamani na taasisi hiyo, nawajibika kuthibiti hayo hiyo. Hakuna mwenye jukumu la kuthibiti hali hiyo isipokuwa taasisi yake na yeye akiwa ndiye mshika usukani.
 
Yaani mimi ninavyompenda Joyce, angekuwa single ningekula naye sahani moja. Hawa ndio akina mama tunaowataka. Hata hivyo, nitafuatilia yule binti yake aliyesoma Kifungilo aolewe na mwanangu.
 
upuuzi mtupu. hapa naona
nipite tu bila kueleza mengi. HUYU MAMA AJIUZULUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
sababu nyingi tulizitoa kipindi tunajadili kufeli kwa wanafunzi wa form
4

yeye ndo anayewafundisha?
 
upuuzi mtupu. hapa naona nipite tu bila kueleza mengi. HUYU MAMA AJIUZULUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU. sababu nyingi tulizitoa kipindi tunajadili kufeli kwa wanafunzi wa form 4

Wale wale...
 
Tunataka mkurugenzi wa NECTA awe Muisilamu, ili watoto wetu waisilamu nao watese kwenye mitahani forms 2 na 4

Kwa kuwa bosi akiwa muislamu atachakachua ili wanafunzi wafaulu wengi... Simple mind!
 

Jiulize kwanza wakati hiyo mitihani ikizagaa hovyo mitaani katibu wa baraza alikuwa nani na sasa hivi katibu wa baraza ni nani. Kama ni mtu huyo huyo; basi kuna tatizo, tena kubwa kuliko unavyofikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…