Branding Manager?

Branding Manager?

Man Jau

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
538
Reaction score
826
Karibu nikuhudumie.

Ninatengeneza Logo kwa gharama nafuu mno, kuanzia Tshs. 20,000/=
Business Cards kwa Tshs. 20,000/=
Pia Nina design Stickers, Banners, Rollups, Labels, etc.

Ninafanya TV, Video Production, Photography, Videography, Editing kwa gharama nafuu mno, kuanzia Tshs. 100,000/= kulingana na tukio lako.

Ninasimamia content na kuandaa kwa ajili ya mitandao ya kijamii kwa uhakika kabisa na program maalum kulingana na biashara, taasisi au kampuni yako, kila unapohitaji (siku, wiki au mwezi)

Ninatengeneza matangazo mbalimbali ya sauti na picha jongefu (video) kwa gharama nafuu mno, kuanzia Tshs. 100,000/= na kuendelea.

Ninapatikana CCM yombo Dovya jirani na kwa Mama natasha kwa wilaya ya Temeke,

muda wote ninafanya shughuli zangu mtandaoni 24/7 na kukuhudumia popote pale ulipo duniani.

Kwa mawasiliano zaidi, nicheki kwa WhatsApp namba +255716223555 au nipigie simu namba +255629462240

Ninafanya Free delivery kwa jijini Dar na viunga vyake na Mikoani ninatuma mizigo yote, kwa gharama nafuu mno.

Boresha Biashara yako. Inastahili.
 
Back
Top Bottom