Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Wakuu Nina techno phatom 6 mpya full box naomba MTU anipe 400k au tubadilishane na Samsung kuanzia S4 au J5 ....Asanteni kwa maelezo waweza kuja PM.
 
haya sasa bwaaago!!!
used samsung galaxy note 5 gold color, 32GB, 4G network..ina crak kidogo kwenye glass ya juu (touch)...ila inapiga kazi safi sana. sio ya mbio, haijabadilishwa imei # na wala haijawahi kufunguliwa.
nabwaga 520k
kwa maelezo zaid nichek 0654776976
20170223_112309.jpg
20170223_112340.jpg
20170223_110543.jpg
20170223_110600.jpg
 
vunja bei:km kawaida nauza mali kwa bei chee.

new brand
hp laptop 13" elitebook 820 G3
core i5 2.3ghz
ram 4gb,
hdd 500gb,
sliver color

price: 650k
0654776976
20170227_181348.jpg
20170227_181419.jpg
20170227_181549.jpg
20170227_181325.jpg
20170227_181235.jpg
 
Mkuu, kioo changu cha S5 kimepata mpasuko kutoka angle ya juu kushoto mpaka angle ya chini kulia.

Kioo ni sh.ngapi au nifanyeje ili huu mpasuko usionekane?
 
Mkuu, kioo changu cha S5 kimepata mpasuko kutoka angle ya juu kushoto mpaka angle ya chini kulia.

Kioo ni sh.ngapi au nifanyeje ili huu mpasuko usionekane?
je ni kioo cha juu ( touch) au kile cha ndani (LCD) au vyote kwa pamoja? au je hiyo simu yako inawaka nakuonyesha kila kitu??

nijibu hayo kiongozi then nitajua cha kukushauri na kukusaidia
 
je ni kioo cha juu ( touch) au kile cha ndani (LCD) au vyote kwa pamoja? au je hiyo simu yako inawaka nakuonyesha kila kitu??

nijibu hayo kiongozi then nitajua cha kukushauri na kukusaidia
Mkuu wangu mimi sio mtaalamu saana wa haya mambo ila inaonesha ni kioo cha juu. Simu inaonesha vyema tu na natouch vizuri tu.

Halafu Mkuu, na hii housing unauzaje? Hii ina rangi ya Silver sema imechakaa, nataka kubadili na kuweka mpya.
 
hivyo vyote bei ni chee tu...nadhan tuliwasiliana kwa simu mkuu...na nikakupa mwongozo si ndio?
 
Mkuu tangazo lako linavutia sana na bei zako tamu kushinda asali je kariakoo ni pale pale agrey mitaa ya kina chief au kule mobile plaza karibu na duka la mirado
nipo kariakoo aggrey mitaa ya kina big, ila pia nataka kuhamia China Plaza...hata hivyo biashara zangu saana ni online..unaletewa mzigo popote ulipo kwa dara free of charge, ila wa mikoani na nje ya nchi ndio huchangia gharama za usafirishaji
 
simu kali na latest Sony Xperia XZ
unapata kwa bei poa..

camera 23MP mbele, 13MP nyuma.
storage ya ndani, 64GB na unaweza weka memory card hadi ya 256GB
Machine yake ni Quad-core (2x2.15 GHz Kryo & 2x1.6 GHz Kryo)
fingerprint lock, duo cameras etc.

20170304_152030.jpg
20170304_151926.jpg
20170304_152011.jpg
20170304_151924.jpg
20170304_152022.jpg
20170304_152027.jpg

bei 750k tu, bado tunaongea!
contacts: 0654776976
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom