Ungekua unatumia njia barabara, ungeniachia S7edge 64GB hapa Tunduma nina milioni moja keshi....Kama unatumia barabara tuwasiliane.!hiyo sina chief..hizo Xiaomi huwa sina mkuu, simu zangu nachukulia S.A af hizo brand za china kule hakuna kabsa.
ila hiyo simu ipo vizuri....naijua.
Kk chukua &550 kama inalipa nicheki 0786888161Samsung Note5, bei chee
used samsung note 5, haina tatzo lolote, jst few scratches:
32GB storage
4GB RAM
16MP camera
4G LTE network
bei 650k (lak 6 na 50)
0654776976
![]()
![]()
![]()