na hii hapa nani alikopi kwa mwenzake??
View attachment 84817
Wakati wenzetu wakilala usiku wanakuna vichwa wakiwaza kuvumbua vitu vipya bongo tukilala wengi wetu tunawaza dhulma na mateso ya jamii zetu zinazo fanywa na cc-harm. Hivi usiku ambao Mwangosi ameuwawa kwa kitu kizito mtoto wa mwangosi alilala akiwa ana waza nini?!