DESMOND DAVID
Member
- Jan 31, 2011
- 79
- 7
Dell Latitude mi majanga hasa screen! USICHUKUE! Bora hata Inspiron
Mawazo mgando hayo!!..Latitude nimetumia toka enzi za D620/630 (roho ya paka), wewe unakuja kusema watu wasichukue E6400 tena kwa herufi kubwa?!!!...tena unasema bora inspiron? Hizi latitude anazouza ni za zamani, kama ni brand new boxed basi ni stock ya zamani, zilizopo madukani nyingi ni used na zinauzwa mpaka 300k, pamoja na hayo ni mashine nzuri sana na niimara! Acheni roho za korosho, vijana wenzenu wanajituma nyie mnawarudisha nyuma, hayo mabox ya Inspiron N series tunayonunua kwa wasomali na wahindi kariakoo hayawezi kuzifikia hizi mashine!
Take it from the dealer!