Bradha wamekuibia demu wako

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
sergepushup.jpg

Jamaa alikuwa bize anafanya mazoezi kando ya barabara,
baada ya jogging na kuruka kichura akaamua kupiga push up.

Wakati anaendelea na push up, mlevi moja akiwa njwiii akamsogelea na
kumuangalia kwa makini kisha akamwita;

Mlevi: Bradha, bradha, subiri kidogo bradha, hapa ni sehemu hatari.

Jamaa: Nini tena wewe mlevi?

Mlevi: Okay mi mlevi lakini nilitaka kukujulisha naona unananihii peke yako,
vibaka wamekwisha kuibia demu wako, angalia mwenyewe hapo chini
 
Hii kiboko, ndo sababu wajuvi wakadai kuwa POMBE sio chai. Kazi qeeeli qeli. Bazazi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom