BP ni ugonjwa hatari sana

Amon Mahamba

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
399
64
Mimi nawaomba tusaidiane kuishauri serikali kutafuta ufumbuzi wa Ugonjwa wa presha zaidi kwani unaua wengi, huu ni sawa na UKIMWI hebu wataalamu kuna dawa ya shinikizo la damu?

Je, mtu akishapata atasubiri kufa tu?

Kama kuna dawa tushauri kama kuna njia ya kuukwepa tushauri.

Asante
 
Pia jaribu kupima kiwango cha cholesteral mwilini, nayo ni sababu moja wapo inayosababisha high blood pressure
 
madawa mengi yanapunguza tu tatizo, pia inategetemea na chanzo laniki dawa kubwa ni kubadili lifestyle ikiwamo na vyakula, ratiba ya kazi, mazoezi, kupumzika na ratiba ya kulala...
ni vyema mgonjwa apimwe na kupewa ushauri, tatizo wagojwa wengi wakishauriwa namna ya kuishi huwa hawafuatilii, wanaacha na kufanya yao mwisho wa siku ndio hivyo tena.
 
Mimi nawaomba tusaidiane kuishauri serikali kutafuta ufumbuzi wa Ugonjwa wa presha zaidi kwani unaua wengi, huu ni sawa na UKIMWI hebu wataalamu kuna dawa ya shinikizo la damu?

Je, mtu akishapata atasubiri kufa tu?

Kama kuna dawa tushauri kama kuna njia ya kuukwepa tushauri.

Asante

Tittle ya thread yako na maelezo yako hayaendani kabisa, hapa unajaribu kupotosha kitu usichokielewa huku ukiomba kuelimishwa.

Nikurekebishe kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa BP bali kuna tatizo la High Blood Pressure ( Hypertension) ambalo pia si ugonjwa vilevile maana hakuna maabara iliyothibitisha kuwepo kwa Virus, bacteria, fungi ambao wanapelekea hii hali Bali ni kutokana na disturbance ya utendaji kazi wa mwili ( Physiology) inayopelekea narrowing of blood vessels hence retention of fluids in the body and finally results to high blood pressure ambayo inaweza kuwa Primary hypertension( essential huprtension) ambayo cause yake haifahamiki au Secondary hypertension ambayo cause yake inafahamika.

Tatizo hili linatibika appropiately baada ya kubaini Chanzo au visababishi ambavyo vinaweza kuwa.

1.High salt intake (Matumizi makubwa ya chumvi)

2.Kidney diseases( Matatizo ya Figo)

3.High cholesterol level (Kiwango cha mafuta mwilini)

4.Stress (Msongo wa mawazo)

5.Aging (Umri mkubwa)

6.Diabetes Mellitus( Kisukari)e.t.c

Kusema UKIMWI siyo hatari kama High blood pressure ni kupotosha Watu.

Upate huo UKIMWI alafu tuone...

Unapokuja Jukwaa hili kutaka kuelimishwa jaribu kuwa neutral ili upate kuelimishwa kwa kile usichokijua la sivyo tutapotosha watu wengi.

Muda wangu ni mchache nikipata wakati tena nitachangia.
 
Inawezekana mtoa mada ana ukimwi hivyo anataka kujifariji kwa thread hii
 
Mkuu yote ni burden lakini kusema High blood pressure ni hatari kuliko UKIMWI napata mashaka....

High blood pressure inaweza kutibika kabisa bila hata kutumia dawa unapobadili mfumo wako wa maisha.

Kwa UKIMWI hili haliwezekani labda mwenzetu anafahamu zaidi tunamuomba atuelimishe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom