Mbushuu JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 2,180 Reaction score 3,421 Nov 20, 2011 #1 [emoji12] [emoji12] [emoji12]
BABU CHONDO JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 855 Reaction score 139 Nov 20, 2011 #2 Oyaaaa peleka upupu wako fb huko ndo kuna mashoro baro humu umekosea.
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Nov 20, 2011 #3 Nadhani wote wakali.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Nov 20, 2011 #4 wote nyimbo zao nzuri
T TumainiEl Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 7,271 Reaction score 14,293 Nov 20, 2011 #5 Yap yap mpe mpe huyo hapa tunajadili maswala ya Kitaifa. West lf Uk.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,313 Nov 21, 2011 #6 Wapwaa.........kulikoni? Ameanza huyu............. BABU CHONDO said: Oyaaaa peleka upupu wako fb huko ndo kuna mashoro baro humu umekosea. Click to expand... Na huyu akadakia.................. TumainiEl said: Yap yap mpe mpe huyo hapa tunajadili maswala ya Kitaifa. West lf Uk. Click to expand... Kwani hili jukwaa ni la nini vile? Kwa mtoa mada..............Boyz II Men nawapa kura yangu na hasa kibao chao I don't wanna fall in love again!
Wapwaa.........kulikoni? Ameanza huyu............. BABU CHONDO said: Oyaaaa peleka upupu wako fb huko ndo kuna mashoro baro humu umekosea. Click to expand... Na huyu akadakia.................. TumainiEl said: Yap yap mpe mpe huyo hapa tunajadili maswala ya Kitaifa. West lf Uk. Click to expand... Kwani hili jukwaa ni la nini vile? Kwa mtoa mada..............Boyz II Men nawapa kura yangu na hasa kibao chao I don't wanna fall in love again!
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,024 Reaction score 45,757 Nov 21, 2011 #7 ni vitu viwili tofauti kabisa kulinganisha B2Men wana fanya RnB Westlife ni POP. Kila mmoja ni mkali kwa style yake anayoitumia, ukizungumzia mafanikia ya B2Men lazima umtaje Babyface maana asilimia 85 ya nyimbo yeye ndio mwandishi wake.
ni vitu viwili tofauti kabisa kulinganisha B2Men wana fanya RnB Westlife ni POP. Kila mmoja ni mkali kwa style yake anayoitumia, ukizungumzia mafanikia ya B2Men lazima umtaje Babyface maana asilimia 85 ya nyimbo yeye ndio mwandishi wake.
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 235 Nov 22, 2011 #8 me just love them so much,kwakweli naweza kesha naskiza boyz2men walivokuja now yani kiboko...wamekua wababa na mvuto plus
me just love them so much,kwakweli naweza kesha naskiza boyz2men walivokuja now yani kiboko...wamekua wababa na mvuto plus