englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
ujumbe uliopo hapo ni kuwa makosa yakifanywa na wasichana polisi hawawafanyi chochote, lakini wavulana wakifanya kosa lilelile, polisi watahangaika naye mpaka akomeSijaelewa
Sijaelewa
ujumbe uliopo hapo ni kuwa makosa yakifanywa na wasichana polisi hawawafanyi chochote, lakini wavulana wakifanya kosa lilelile, polisi watahangaika naye mpaka akome
Wasichana hata wafanye kosa la wazi wataachiwa tu, lakini mvulana hata kama utakuwa umefanya kwa kificho utapekuliwa balaa
Msichana hutenda makosa kwa kuto kufahamu, ila wavulana hutenda kwa kukusudia
Teh teh teh, I can guess your price tag bro!!
Hii ni chit chat issue au ni issue ya Jukwaa la picha?
mie, mdume akifanya kosa hua na mcheki then ikiwezekana nampa vitasa vya kuchangamsha akiri. Ila mdada namuita naanza kumuelekeza hadi aelewe