Sipati picha mvua hizi na Lizzy mgongoni lol!Umefurahi nini tena dearest?
Sipati picha mvua hizi na Lizzy mgongoni lol!Umefurahi nini tena dearest?
Hahaha unakimbilia wapi mpnz?Hapo chini kumatch na huyo jamaa NN?Ntakua nyuma!
Well if I manage to get rid of you i won't be for long!3rd wheel...
Sipati picha mvua hizi na Lizzy mgongoni lol!
mmmmmhhhhhh
semba jike na simba dume
mmmhhhh nani muindaje bora??
Naona na NN kaunga foleni kwako na tukiwaongeza na wale waliokudondokea(sijui ulisalimika lol!).We si una kilo 58,miaka 23, mweusi kiasi,unakata bob style,very independent,speaks her mind...niendeleee ?Hahahaha mi labda kwa trekta!Au uombe msaada kina Kloro..baba Mchungaji..Sipiyu na baunsa lingine la nguvu!
Naona na NN kaunga foleni kwako na tukiwaongeza na wale waliokudondokea(sijui ulisalimika lol!).We si una kilo 58,miaka 23, mweusi kiasi,unakata bob style,very independent,speaks her mind...niendeleee ?
Naona na NN kaunga foleni kwako na tukiwaongeza na wale waliokudondokea(sijui ulisalimika lol!).We si una kilo 58,miaka 23, mweusi kiasi,unakata bob style,very independent,speaks her mind...niendeleee ?
Ulipokuwa mdogo ulikuwa tomboy flani lakini sio mgomvi,hupendi gossip,unapenda kujua vitu vipya na kujuana na watu wenye manufaa kwako...imetosha ?Hahaha dearest ntalala vizuri sana leo!Embu endelea ili nikuote kabisa!
Ulipokuwa mdogo ulikuwa tomboy flani lakini sio mgomvi,hupendi gossip,unapenda kujua vitu vipya na kujuana na watu wenye manufaa kwako...imetosha ?
Nikiweka avatar itakuwa ya picha yangu halisi kama M.Shossi,Dena na Pauline.Uporoto weka Avatar siingii tena JF mpaka nione avatar yako..
bye
dahhhhhhhh
eeehhh kwa kweli
homework umeifanya hadi kilo unajua
Kheshma yako mkuu...
Hiyo ya miaka ulisema mwenyewe,nywele ulisema mwenyewe,weusi ulisema mwenyewe ndio ujue nafatilia kila kitokacho kinywani mwako mengine nimekisia tu.Khaaa!We dearest ndo EY nini?Usikute unanichora tu hapa.....!
Hiyo ya miaka ulisema mwenyewe,nywele ulisema mwenyewe,weusi ulisema mwenyewe ndio ujue nafatilia kila kitokacho kinywani mwako mengine nimekisia tu.
Hahaha! NIMEKISIA sio SIKIA soma vizuri.Mmmh umesikia wapi?
Orait orait!So...kesho naenda sokoni..nikuletee zawadi gani dearest?Hahaha! NIMEKISIA sio SIKIA soma vizuri.
Hata ndizi itokayo mkononi mwako inatosha dearest.Orait orait!So...kesho naenda sokoni..nikuletee zawadi gani dearest?
Hata ndizi itokayo mkononi mwako inatosha dearest.