Boyfriend ananitegemea

Uvi unataka umuache or unataka kutatua tatizo?

Maisha ya ndoa ni ushirikiano wa watu wazima wenye kujitambua. Huyu mama's boy anatakiwa akalelelwe kwanza. Amin usiamini. Hawa wanaume wa hivi huwa wapo. Ukiamua utamlea hadi kufa. Ni uamuzi wako kama unataka kuwa na baby boy mkubwa au unataka kuolewa na kuwa na mume.
 
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe

Huyo sio sahihi kwako, angekuwa sahihi usingethubutu kulialia hapa
 

Pole sasa dada, ni changamoto za maisha.Lakini wangu naomba tuangalie point kadhaa
(a) umesema huna kazi na upande mwingine unatwambia huwa anakuomba hela ya matumizi, mpaka na simu kachukua..hiyo hela we unaitoa wapi..unaomba omba kama yeye? if so tofauti yenu iko wapi? ooh nisamehe we ni mwanamke una haki ya "kuomba omba"

(b)anapandaga daladala bila nauli: unaamini katika hilo?..mmiliki wa daladala ni mjombake au?

(c). anamuomba hadi mamake hela..some families have been built to support each other in thru good and bad times...simsupport jamaa yako kujiendekeza lakini kama umetamka kumuomba mama hela kama kitu unthinkable, umekosea

(d) akipiga simi usipopokea unakuwa na udhuru gani? Bahati nzuri wanawake mnajulikana kwa matumizi ya simu..its like second skin to you..dakika kumi nyingi lazima utakuwa umeishaiangalia simu yako..kama anapiga hupokei na baada ya masaa matatu ndo unakuja na "honey ndo nimeona missed cal" jamaa ana haki ya kukufikiria vibaya

(e) msichana wa miaka 28..my dear msichana kwa jinsia sawa..kwa umri wewe ni mwanamke.

(f) yeye kutokana na umri kwenda...unadhani kuna tofauti yoyote kati ya mwanamme mwenye miaka 34 ambaye hajaoa na mwanamke mwenye miaka 28 ambaye hajaolewa? hebu fikiria tena..miaka 2 ijayo utakuwa past marrying age!!!
 
tatizo halitatuki mtu mzima miaka 34 asiyeelekea unafanyaje hapo?bora nimuache kimtindo lakini
Ulijaribu KUMUONESHA NJIA na akashindwa?

Mmh!
 


I see.
 

pole sana maisha ndivyo yalivyo jipe moyo cku moja mungu atafungua milango
 
Samahani kwa swali, kwahiyo yeye huo mshahara wake huwa anauweka wapi? plz nijibu kwanza

ameishajibu hivi ...........anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe
 
hujagundua tatizo bado nadhan tatizo co degree hapo kwenye matumizi jaribuni kufanya balance zenu vizuri kwani hata mkiwa na pesa nyingi bila matumiz mazur mtalalamika kila siku kama mnapendana nakuelewana vizur fanyeni maisha hayo mengine yanarekebishika kikubwa mshirikishane
 

Keep on kumkazania iko siku atakuelewa japo kiukweli haipendezi sana style anayoishi. Lakini pia kama huwa anapewa hela na mama yake basi nahisi tatizo ni la kimfumo wa familia aliyokulia. Mbadilishe kabla haujaingia katika life commitment.
 
This guy sounds like someone I used to know. Huwa hawabadiliki hao watu wa hivyo.. hata akifika 47 atakuwa hivyo hivyo... pole sana.

Mpe muda kama habadiliki tupa kule.

Ila kama wewe ni mtu wa sala jifungie, piga goti, mlilie Muumba wako kwake hakuna lisilowezekana.
 
Sasa ww dada utakua huja mpenda una penda pesa kua una mshauri mumeo kusoma una muelezea hali alisi na umuulize ata omba pesa mpk ln??????
 
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe

sasa huyo bwana unamngangania wanini
mbona hakuna hata moja linafaa bora angekua hana hiyo tabia ya uchapombe.....wewe umekula nini chake mpaka kungnhania kwake
HUWEZI KUJUACHA HUYO NI MZAZI WAKO
just a single sms inatosha na hakuna analiweza kukufanya
 
mamam uyo kama mwafulan iv n marioo hatar afu hata mia yake upat na ukmshaur ackii pia akiwa na hela anatumia na marafk zake wew akup akiishiwa anarud mpolee mamie hapo pga kbut wanaume wa hvyo n mzgo utakua huna uwezo wa kuendelea au kusaidia familia yako...pia n selfish itakua ngumu ila take it o leav it muacheee ujamzaa wew uyo kua utapata radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…