Boy, 12, is having sex change, school announces | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boy, 12, is having sex change, school announces

Discussion in 'International Forum' started by Ng'wanza Madaso, Sep 18, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Boy, 12, is having sex change, school announces

  A school called an emergency assembly to tell children that a 12-year-old male pupil was having a sex change.  By Murray Wardrop
  Published: 7:00AM BST 18 Sep 2009


  The youngster arrived for his first term at secondary school wearing a dress and with long hair in ribboned pigtails after his parents changed his name to a female one by deed poll over the summer holidays.
  However, the boy, who is preparing to undergo hormone treatment and sex change surgery, was immediately taunted by classmates who recognised him from primary school.
  As a result, the 1,000-pupil school in south east England decided to call an emergency assembly ordering children to treat him as a girl and use his new name.
  But parents have reacted angrily after some youngsters were apparently left in tears by the news. They claim that the head teacher should have informed parents of the matter beforehand, so that they could have discussed gender issues with their children.
  One mother, whose daughter was a classmate of the boy at primary school, told The Sun: "She [my daughter] told me that the pupil is already a target for bullying.
  "What has really upset the parents is that the school didn't see fit to send us a letter first so we could explain it to children in our own way.
  "Maybe we could have explained sexual politics and encouraged our kids to be more sensitive.
  "They were simply told, 'You may notice one pupil is not present in this assembly – that is because the pupil is now a girl'.
  "The girl, as she now is, will go through hell because of how this has been handled."
  It is understood that at primary school, the boy's head teacher insisted that children treat him as a boy, despite his feminine behaviour, which included wearing a bikini for swimming lessons, wearing his hair in pigtails and using riding a pink scooter.
  However, the secondary school has provided him with a separate lavatory and changing room in its sports hall.
  The boy's mother told The Sun: "We are committed to ensuring the very best for our child. We are working with other agencies to ensure our child's welfare is protected."
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa Miaka 12 Abadili Jinsia Kuwa Mwanamke na Kuzua Tafrani Uingereza
  [​IMG]
  Friday, September 18, 2009 7:55 PM
  Walimu na wanafunzi katika shule moja nchini Uingereza hawakuamini macho yao kumuona mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 12 amerudi shule toka likizo akiwa amebadili jinsia yake, akitumia jina la kike na kuvaa nguo za kike.Walimu katika shule ya sekondari iliyopo kusini mwa Uingereza ilibidi wafanye mkutano na wanafunzi wote wa shule hiyo kuwafahamisha kuwa mwanafunzi mwenzao wa kiume kuanzia wakati huo ni msichana na wamchukulie kama msichana.

  Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 aliwashtusha wanafunzi wenzake baada ya kuwasili kwenye siku ya kwanza ya kuanza elimu ya sekondari baada ya likizo ya kumaliza elimu ya msingi akiwa amevaa unifomu za kike na akiwa ametengeneza nywele zake kama mwanamke.

  Wazazi wa kijana huyo walishambadilisha hadi jina lake kisheria na kumpa jina la kike huku wakati huo huo wakimuandaa kwa matibabu ya kuondoa homoni za kiume na kuziongeza homoni za kike na baadae kumfanyia operesheni ya kuzibadilisha nyeti zake kumpandikiza nyeti za kike.

  Taarifa zinasema wazazi wa mtoto huyo walikuwa na imani kuwa kwakuwa mtoto wao alikuwa akianza elimu ya sekondari katika shule tofauti na wanafunzi wapya, hali yake mpya kama msichana haitagundulika kwani kutakuwa hakuna mwanafunzi atakeyegundua kuwa awali mtoto huyo alikuwa mwanaume.

  Lakini bahati mbaya katika shule hiyo kulikuwa na marafiki zake aliomaliza nao shule ya msingi ambao walianza kumtania na kumuita shoga na kusababisha mwalimu mkuu wa shule hiyo kuitisha kikao na wanafunzi wote.

  Wanafunzi katika shule hiyo walitishiwa kupewa adhabu za kishule iwapo watakiuka maagizo ya kumchukulia kijana huyo kama msichana na kutumia jina lake jipya la kike au iwapo watafanya kitendo chochote cha kumdhihaki.

  Baadhi ya wanafunzi waliosikitishwa na kuchanganyikiwa kutokana na kitendo hicho waliangua kilio wakati wa mkutano huo.

  Wakiongea na gazeti la The Sun la Uingereza, wazazi wa mtoto huyo walielezea kusikitishwa kwao na hali ya mtoto wao kuangua kilio na kuonyesha kuchanganyikiwa baada ya walimu wa shule hiyo kumtangaza kwa wanafunzi wenzake kuwa amekuwa msichana.

  Wazazi hao walionyesha hasira zao kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kutowataarifu mapema kuwa watawatangazia wanafunzi wote ili kuwapa nafasi ya kumuelewesha mtoto wao jinsi jamii itakavyomchukulia kwa kubadilisha jinsia.

  Shule hiyo yenye wanafunzi 1,000 imemwandalia mwanafunzi huyo choo chake maalumu pamoja chumba chake maalumu cha kubadilishia nguo.

  Mwalimu mkuu wa shule ya msingi aliyomaliza mtoto huyo alisema kuwa mtoto huyo alipokuwa akisoma shule hiyo alikuwa akichukuliwa kama mwanaume ingawa alikuwa akionyesha tabia nyingi kama za kike kama vile kuvaa kivazi cha kuogelea cha kike badala ya bukta wakati wa masomo ya kuogelea.

  "Tunataka tumfanyie jambo lililo bora zaidi mtoto wetu" alisema mama wa mtoto ambaye hakutajwa jina lake.

  "Tunaongea na watu mbali mbali kuhakikisha kuwa maslahi ya mtoto wetu yanalindwa" alisema mama huyo.

  Wazazi wa mtoto huyo wametumiwa vitisho vya kuuliwa na watu wasiojulikana na hivi sasa wamepewa ulinzi wa polisi.
  www.nifahamishe.com
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Transgender disoder,
   
 4. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Is that the development or what is that? I believe the world is over now.
   
 5. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  No,it isnt over.May be YOU are just about to die.There is more to come yet.
   
 6. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hicho hata mimi nimekifikiria sana kichwani mwangu Mungu atuepushe na hili balaa. Kwani wazazi kumbadili mtoto bila idhini yake sidhani kama ni kitendo kizuri wangesubiri akafikisha miaka 18 hapo atakuwa na akili timamu. Kwani kwa umri huu ndio umri wa kubalehe na mtoto anaweza kufanya lolote kwani hajui ni kipi kizuri.
   
Loading...