mgonjwa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 514
- 223
:shocked::shocked:nzuri shingapi napemdaga sana kuvaa boxer kuliko skin tait
napenda kuvaa sana haswaa wikend nazurura nazo ndani
ninayo moja tu imeanza kunibana nataka ntingine inayopwaya pwaya sipendi kubanwa
Boxer za kiume za ukweli toka turkey kwa bei rahisi kwa mahitaji ya jumla na rejareja ni pm tufanye biashara !! Ni pure cotton !! Karibuni sana
na hicho kijungu ulonacho huwa zakuenea kweli?
hahhah nanunuaga saizi kubwa jamani
kubwa si nzuri bana...natamani nikuone ukiwa umevaa iliyo taiti!!!
naweza uza shamba langu la magimbi ili nkununulie tu hii makitu teh teh !!!