Boxer za kiume za zinauzwa

Boxer za kiume za zinauzwa

Oyaa wakazi wa Mwanza tunazioataje nahitaji kama kumi 10 hivi mkuu,plz ni pm bei kabisa.
 
Reja reja elfu 6 tu kwa moja ! Jumla kuanzia pics 20 ni elfu tano !! Na ukichukua kuanzia pic 40 ni 4500 tu
 
used or brand new?

cc mgonjwa sikuoni jukwaani kule. kuna maandamano yanaandaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Brand new !! Secret service !! Nimeamua kua mjasiria mali kiongozi !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom