S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 504 Feb 22, 2015 #41 Deo Corleone said: Ujue Jukwaa hili kitambo lilikuwa linanoga sana,so nasoma soma za zamani!! Nikiona wachawi nawachana,Ujue tupo katika mpango wa kuwafuta wachawi kwenye hili Jukwaa Click to expand... Alaaah kumbe,!!! Kweli bwana mtu unauliza Fa kama ni mwanaume huu ni uchawi dhahiri.
Deo Corleone said: Ujue Jukwaa hili kitambo lilikuwa linanoga sana,so nasoma soma za zamani!! Nikiona wachawi nawachana,Ujue tupo katika mpango wa kuwafuta wachawi kwenye hili Jukwaa Click to expand... Alaaah kumbe,!!! Kweli bwana mtu unauliza Fa kama ni mwanaume huu ni uchawi dhahiri.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Feb 22, 2015 #42 Showme said: Alaaah kumbe,!!! Kweli bwana mtu unauliza Fa kama ni mwanaume huu ni uchawi dhahiri. Click to expand... Wewe unadhani mtu anayeuliza hivyo,akipewa sumu akamuue jamaa atashindwa?
Showme said: Alaaah kumbe,!!! Kweli bwana mtu unauliza Fa kama ni mwanaume huu ni uchawi dhahiri. Click to expand... Wewe unadhani mtu anayeuliza hivyo,akipewa sumu akamuue jamaa atashindwa?
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 665 Feb 22, 2015 #43 Kuhoji jinsia ya mtu na unamuona kabisa ni rijali na hana scandal yoyote ya kupakatwa huo nao ni UCHAWI
Kuhoji jinsia ya mtu na unamuona kabisa ni rijali na hana scandal yoyote ya kupakatwa huo nao ni UCHAWI