Boxer 125 HD inauzwa

Boxer 125 HD inauzwa

Sold out
Snapchat-31151264.jpg
 
New deal.
Pikipiki Boxer bado ipo...
Nilinunua kwa 3.6m na nauza kwa only 2M baada ya kushindwa kuitumia kama chombo cha usafiri binafsi..
So far hakuna mtu aliyelipia zaidi ya kutoa ahadi...
Kwa yeyote anayehitaji kuifanyia biashara aje tuzungumze nimpatie mkataba...
Masharti ya Mkataba.
1.Mkataba ni wiki 50,kila wiki ni 70,000.
Ukimaliza piki piki ni mali yako.
2.Udhamini,Watu wawili watakaosaini mkataba wa dhamani wa kiasi cha shillingi millioni tatu kila mmoja
3.Kushindwa rejesho la wiki kwa muda wa wiki mbili mfululizo kuna vunja mkataba.
4.Ndani ya wiki kumi za mwanzo unaruhusiwa kumaliza malipo ya wiki arobaini kwa mkupuo wa pungufu ya asilimia kumi ya pesa unayopaswa kulipa.
5.Kwa Matukio ya wizi au ajari mkataba utabakia kama
ulivyo,wadhamini watawajibika kulipa kwa mkupuo malipo yaliyobaki.
Nb:
Kwa maboresho mkataba unazungumzika kwa mtu serious.
0621973591
Snapchat-1408235741.jpg
 
Second deal:
Anayetaka kwa biashara njoo nikukopeshe...
Utalipa 1m downpayement then utalipa 500k miezi mitatu mfululizo.
So kwa mkopo wa 3Months...
Utalipia 2.5m only.
0621973591
 
Duh mkuu wewe ni mtu na nusu aisee, deals options zote zimesimama wima, tushindwe sisi tu wateja.

Ila kwenye mkopo hapo rekebisha badala ya 2.5m iwe hata 2.2m
Mkuu naamini kuna watu wanaweza wekeza kwenye hii biashara,mimi kwa kweli siwezi na sihitaji iendelee kuwepo bila faida yoyote..
Sasa badala ya kwenda kununua kwa 3.6m hii unaipata kwa only 2m cash or 2.5m kwa mkopo.
 
Jamaa anaringa na pikipiki yake
Njoo na wadhamini tu bilaa pesa nikuachie boss,sihitaji ikae bila faida na mimi...or else toa downpayment hiyo 1.5m...kisha nilipe laki tatu nanusu kila mwezi kwa miezi miwili...Kariibu...vinginevyo useme tu wewe boss unatakaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom