Botswana waunga mkono ICC! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Botswana waunga mkono ICC!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Jul 7, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nchi za ki-Africa ni vigeugeu!

  Botswana Supports the Warrant of Arrest Issued by ICC

  7 July 2011

  press release

  Gaborone — The Government of Botswana has taken due note of the position taken by the African Union not to cooperate with the warrant of arrest issued against Muammar Gaddafi by the International Criminal Court at the just-ended Assembly of the African Heads of State and Government in Malabo, Equatorial Guinea.

  Botswana wishes to reiterate her position in support of the warrant of arrest. This decision was not reached lightly. State and state-sponsored violence and blatant human rights violations by the Gaddafi regime on its own people, which started in February this year, continues unabated to this day.

  This is despite international efforts calling on the regime to end its violent campaign against the Libyan people. This campaign of violence, which has resulted in massive loss of live, destruction of property and displacement of people is against all norms of civilized behavior and international humanitarian law. This is a crime against humanity and should therefore be unacceptable to all peace-loving people.

  The Government of Botswana pledges to continue to uphold basic human and political rights and hereby calls on fellow members of the AU to support the ICC in carrying out its mandate to apprehend the Libyan leader, as a critical step towards alleviating the plights of the Libyan people, and paving the way for a new democratic dispensation in that country.

  Source
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  usisahau rais wa botswana mama yake ni mzungu kutoka uk,na wajomba wapo kwenye uk goverment
   
 3. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Haya ndio matatizo ya watu wanaoitwa 'Wafirika'. Daima wako tayari kudharau taasisi zao kisha wasingizie kuwa hazifanyi kazi na hazina maana. La kusikitisha ni kuwa viongozi wengi wa Afirika wako tayari kusikia ushawishi wa nje na kusaliti maamuzi ya pamoja yaliyochukuliwa na Waafrika.
  Sishangai....utumwa mbaya zaidi ni ule wa akili.
   
 4. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  jamaa anasikitisha saana kwani alimegoma kabisa kuoa
   
 5. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Binafsi naona hakuna haja ya kuwa na UN, ICC wala AU. All these are functioning like debating clubs. UN na AU is a waste of time and resources
   
 6. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,447
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  hawa ndo viongozi wa africa, wegi ni virema yaani hawawezi kusimama na miguu yao wenyewe. wengi wameolewa na wamagharibi hivyo hawawezi kuwasaliti kamwe mabwana zao. tatizo hili lilianza toka enzi za ukoloni, maana aliyekuwa akiwatesa waafrika ni mwafrika aliyetumwa kufanya hivyo na mzungu na mara nyingine alikuwa anajiamlia yeye mwenyewe kuwatesa waafrika wenzake ili aonekane bora. huu ni ujinga wafe kabisa watu hawa.
   
Loading...