Hujajibu katika muktadha.Kukosea ni kuenda kinyume na matakwa ya kitu au jambo fulani.
Nadhani nimekujibu ndg diaspora?
Anatakiwa kuendelea kusema ukweli na kukitetea kwa nguvu alichokisema.Hujajibu katika muktadha.
Kama matakwa ni uende kinyume na matakwa, na ukienda kinyume na matakwa umekosea kwa mujibu wako, ukienda kinyume na matakwa, umekosea au umepatia?
Kwa sababu, kwa kila "jambo fulani" atakalokosea, kuna la kinyume chake atakalokuwa kapatia.
Kwa kila Wapalestina atakaokuwa kawakosea, kuna Wayahudi wengi atakaokuwa kawafurahisha.
Kwa kila Democrats atakaokuwa kawakosea, kuna Republicans atakaokuwa kwafurahisha na kuwapatia.
Kwa kila conservatives atakaokuwa kawafurahisha na kuwapatia,
Kwa Trump jambo muhimu kabisa analotakiwa kulifuatisha ili asikosee ni lipi?
Anatakiwa kuendelea kusema ukweli na kukitetea kwa nguvu alichokisema.
Eg, nchi za africa ni Sithole yuko sahihi sana
Jerusalem iwe makao makuu ya Israel yuko sahihi pia mwenye nguvu mpishe
Siamini sana katika uwezo wa Kim jong kuipiga marekani.Ukweli ni kitu muhimu. Hata mimi naupenda.
Kama kusema ukweli kutasababisha kesho Kim Jong Un apige Marekani yote kwa nyuklia na kuifanya iwe majivu Donald Trump aseme tu huo ukweli na kuifutilia mbali Marekani usoni mwa dunia?
Huyo rais wa Botswana ana muda mwingi sana wa kuchezea! Unamjibu Trump ili iweje! Ukianza jibishana na kichaa nani ataonekana ni mzima kati yenu! Mie nafikiri dunia nzima ingempuuza tu Trump maana katika uhalisia Africa na Tz ikiwemo haiwezi kamwe kuwa 'shithole'! Unapopambana naye sana inaanza kuonyesha kama kuna ka ukweli ndani yake...maana ukweli huwa mchungu muda mwingine!
Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa
Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
Hujaelewa hata swali nililouliza, hivyo Hujalijibu.Siamini sana katika uwezo wa Kim jong kuipiga marekani.
Amini TRUMP ni mkweli
Mara nyaniTrump yuko sahihi kabisa.nchi za Africa wanapenda mtelemko.badala ya kubaki Africa na kujenga nchi zetu watu wanaenda kujazana ulaya marekani.ndio maana south Africa na msumbiji walianza kuwatimua wahamiaji kwa mapanga.pia maneno ya trump ya kawaida sana.mbona sisi wenyewe Mara tunaitana wapumbuvu Mara karai.Mara nyumbu Mara malofa Hawa.
Ndio maana raid WA Botswana ana hojaInaonekana huijui Botswana kumbe, ni moja ya nchi zilizopiga maendele zaidi kwa sasa ni nzuri kuliko south, na kwa demokrasia ndo usipime.
Wewe unaleta udini sasa ya palestina na waisrael yamekujaje?ongelea Afrika na USA bwana hizo chuki zenu na wayahudi hukohuko mkamalizane.Hujajibu katika muktadha.
Kama matakwa ni uende kinyume na matakwa, na ukienda kinyume na matakwa umekosea kwa mujibu wako, ukienda kinyume na matakwa, umekosea au umepatia?
Kwa sababu, kwa kila "jambo fulani" atakalokosea, kuna la kinyume chake atakalokuwa kapatia.
Kwa kila Wapalestina atakaokuwa kawakosea, kuna Wayahudi wengi atakaokuwa kawafurahisha.
Kwa kila Democrats atakaokuwa kawakosea, kuna Republicans atakaokuwa kwafurahisha na kuwapatia.
Kwa kila conservatives atakaokuwa kawafurahisha na kuwapatia,
Kwa Trump jambo muhimu kabisa analotakiwa kulifuatisha ili asikosee ni lipi?
Trump katukana Afrika unaingiza korea kusini wa nini bwana?ongelea linalohusu Trump na Afrika tu,ebo!!Siamini sana katika uwezo wa Kim jong kuipiga marekani.
Amini TRUMP ni mkweli
Mkuu nadhani hujajua Kim jong katokea wapi kwenye hiyo reply huo ni mfano alioutoa bwana Al watan na nikamjibuTrump katukana Afrika unaingiza korea kusini wa nini bwana?ongelea linalohusu Trump na Afrika tu,ebo!!
Wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo.Wewe unaleta udini sasa ya palestina na waisrael yamekujaje?ongelea Afrika na USA bwana hizo chuki zenu na wayahudi hukohuko mkamalizane.
Democratic na republican umechomekea tu acha zako usijione una akili nyingi usilete udini hapa na misimamo yenu ya kipuuzi,angalia hata post ulizojibiwa wameliona hilo la palesyina na israel kuwa unatetea palestinawaachie mambo yao!!Wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo.
Naongelea polarization za jamii zinavyofanya hata ukweli uweze kusababisha sumu na unavyotakiwa kuelezwa kwa weledi.
Ndiyo maana nikataja Republicans na Democrats hapo pia.
Ila kwa sababu wewe unatumia akili ndogo kama ya nyungunyungu ukaonabudini tu.
Wakati mimi sina dini na siamini hata kwamba Mungu yupo.
Acha uguluguja.
Kuna ujumbe wa Bunge la Marekani unaenda Botswana.Huyo rais wa Botswana ana muda mwingi sana wa kuchezea! Unamjibu Trump ili iweje! Ukianza jibishana na kichaa nani ataonekana ni mzima kati yenu! Mie nafikiri dunia nzima ingempuuza tu Trump maana katika uhalisia Africa na Tz ikiwemo haiwezi kamwe kuwa 'shithole'! Unapopambana naye sana inaanza kuonyesha kama kuna ka ukweli ndani yake...maana ukweli huwa mchungu muda mwingine!
Nitaleta vipi udini wakati mimi sina dini na siamini Mungu yupo?Democratic na republican umechomekea tu acha zako usijione una akili nyingi usilete udini hapa na misimamo yenu ya kipuuzi,angalia hata post ulizojibiwa wameliona hilo la palesyina na israel kuwa unatetea palestinawaachie mambo yao!!