Botswana President looking for a wife, any suggestions?

Botswana President looking for a wife, any suggestions?

Anatia aibu!
Sijui katiba yao inasemaje kuhusu hili!
Kwa haraka haraka mimi naona huyu bwana hafanyi kazi kabisa kwenye yale maeneo, hivyo anaona aibu kuoa.

We paka ni uamuzi tu kwani katiba haihusiani na ndoa kabisa. ndoa is personal lakini maswala ya katiba ni public. Lakini a public figure anapaswa kuonyesha mfana hata katk personal decisions.
 
To me there are only two reasons for him being single at 57.Either he is impotent or has very serious cycological problems.I surely would not advice any lady to be married by him.After all mazoea ya bachelorhood yenyewe ni tatizo.Unless ofcourse one goes there for money.
Botswana President Khama Ian Khama, a retired army general, has numerous medals on his chest. But he doesn’t have a ring on his finger.

The 57-year-old leader is probably African’s highest-profile bachelor. Botswana could be among the few African countries – if any – without a First Lady.

Mr Khama’s marital status has been “a source of national concern” with his countrymen questioning whether he believes in the institution of marriage. For a long time, President Khama did not seem to agree with the adage that behind every successful man there is a woman.
PTA15_ZIMBABWE-CRISIS-_0126.jpg

Now it is a tall order for his aides who have been sent out to find a “tall, slender and good-looking woman” in a country where women are known for being “heavily built.”

In addition to being president, Mr Khama is a paramount chief of the Bamangwato people, the largest ethnic group in Botswana. This responsibility requires him to marry, but the President has defied tradition.

According to the BBC, although made a chief in 1979, Mr Khama has never assumed the responsibilities of traditional leadership in his village.

more
Daily Nation:*- Africa*|Help me find a slim wife, bachelor president appeals
 
nikiangalia hizi bidhaa natamani kulia ati.

Kwa kweli pamoja na kwamba ninaye tayari wa maisha hawa vijana ni hatari mno lakini siyo wa mkorogo tu hawa? But still people say the beautiful ones are not yet born- lol I am suprised!
 
Watu walivyoshika bango eti lazima ana kasoro, kwa hiyo ili ukamilike ni lazima uoe? Kwa nini ufuge ng'ombe wakati unaweza kupata maziwa bure.
 
Wakati mwingine ni vizuri alivyo peke yake kuliko apate mke halafu aanze kuendesha nchi.

Huyu Presdaa Khama anajuwa matatizo ya kuoa huku nchi ikiwa na matatizo kibao. Aliamua ku-concetrate na kujenga uchumi wa nchi yake na kuondoa umasikini siyo kufikiria matatizo ya familia na kubofya bofya. Nadhani alikuwa ana muda mwingi wa kupitia mikataba ya madini na kuirekebisha kabla ya kuisaini ndo maana Botswana wamepiga hatua ya kweli kimaendeleo, tofauti na huku kwetu, mtu anasaini mkataba hata hajui umeandikwa nini ili akimbie akabofye kizenji!
 
Akipitia jukwaa la MMU hataweza kukosa (ila wengi mle wameenda sana mileage halafu wana hasira sana lol)
 
Waswana huwa hawafungi ndoa - For sure lazima ana-girl friend(s)

Ratio ya wanaume kwa wanawake ni 1:2; hivyo kufunga ndoa inamaana unawanyima wengine (wanawake wengine) uwezekano wa kupata mume. Waswana wengi hawaoi na hata kuolewa kwani ukiolewa ujue huyo mume siyo wa kwako mwenyewe. Wengi watataka huduma yake, sasa kuna haja ya kufunga ndoa uka-mu- appropriate? wengine watakosa! mmm. Inawezekana ndiyo maana jamaa mpaka umri huo alikuwa anachakachua tuu! Inawezekana ndiyo maana alikuja Tz (Mtwara) wakati fulani labda kutafuta mke toka TZ?:A S crown-1:
 
na ukimwi unawatafuna kama hauna akili nzuri
Ratio ya wanaume kwa wanawake ni 1:2; hivyo kufunga ndoa inamaana unawanyima wengine (wanawake wengine) uwezekano wa kupata mume. Waswana wengi hawaoi na hata kuolewa kwani ukiolewa ujue huyo mume siyo wa kwako mwenyewe. Wengi watataka huduma yake, sasa kuna haja ya kufunga ndoa uka-mu- appropriate? wengine watakosa! mmm. Inawezekana ndiyo maana jamaa mpaka umri huo alikuwa anachakachua tuu! Inawezekana ndiyo maana alikuja Tz (Mtwara) wakati fulani labda kutafuta mke toka TZ?:A S crown-1:
 
To me there are only two reasons for him being single at 57.Either he is impotent or has very serious cycological problems.I surely would not advice any lady to be married by him.After all mazoea ya bachelorhood yenyewe ni tatizo.Unless ofcourse one goes there for money.

Poor thinking..that is only I can say of you! What about Atal Bhihar Vajpayee, the former Indian Prime Minister who is also single?
 
Mambo JF's!! Jamaa is a good guy.He knows all about 'them'.:hungry:
 
Huyu Presdaa Khama anajuwa matatizo ya kuoa huku nchi ikiwa na matatizo kibao. Aliamua ku-concetrate na kujenga uchumi wa nchi yake na kuondoa umasikini siyo kufikiria matatizo ya familia na kubofya bofya. Nadhani alikuwa ana muda mwingi wa kupitia mikataba ya madini na kuirekebisha kabla ya kuisaini ndo maana Botswana wamepiga hatua ya kweli kimaendeleo, tofauti na huku kwetu, mtu anasaini mkataba hata hajui umeandikwa nini ili akimbie akabofye kizenji!

aaa na checque imeandika USD 200,000 kwa tarakimu alkinin kwa maneno ni USD 300,000..umakini ziro maana anakimbia kimbia kuwahi mambo yetu yaleee
 
amwombe Mswati ampatie moja kati ya vile vifaa alivyosaza
 
Back
Top Bottom