Botswana President looking for a wife, any suggestions?


MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
136
Points
160

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 136 160
Botswana President Khama Ian Khama, a retired army general, has numerous medals on his chest. But he doesn’t have a ring on his finger.


The 57-year-old leader is probably African’s highest-profile bachelor. Botswana could be among the few African countries – if any – without a First Lady.


Mr Khama’s marital status has been “a source of national concern” with his countrymen questioning whether he believes in the institution of marriage. For a long time, President Khama did not seem to agree with the adage that behind every successful man there is a woman.
PTA15_ZIMBABWE-CRISIS-_0126.jpg


Now it is a tall order for his aides who have been sent out to find a “tall, slender and good-looking woman” in a country where women are known for being “heavily built.”

In addition to being president, Mr Khama is a paramount chief of the Bamangwato people, the largest ethnic group in Botswana. This responsibility requires him to marry, but the President has defied tradition.


According to the BBC, although made a chief in 1979, Mr Khama has never assumed the responsibilities of traditional leadership in his village.

more
Daily Nation:*- Africa*|Help me find a slim wife, bachelor president appeals
 

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,510
Likes
7,295
Points
280

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,510 7,295 280
Yah katika nchi ambazo zinatake easy mambo ya ndoa ni Botswana, hao maisha yao ni ya boyfriend na girlfriend tu, Huyo khama alikuwa na Girlfriend wake wa kutoka Lesotho ambaye ilisemekana kuwa anaweza kumuoa,
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
335
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 335 180
Anatia aibu!
Sijui katiba yao inasemaje kuhusu hili!
Kwa haraka haraka mimi naona huyu bwana hafanyi kazi kabisa kwenye yale maeneo, hivyo anaona aibu kuoa.
 

Fab

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
763
Likes
0
Points
0

Fab

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
763 0 0
duh ningejitosa ila size yangu imeniangusha...lol
ila na yeye 57????alikuwa anafanya nini muda wote?mchakachuaji no1???
may be he is too choosy....:embarrassed:
 

Ndinani

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
5,411
Likes
730
Points
280

Ndinani

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
5,411 730 280
Anatia aibu!
Sijui katiba yao inasemaje kuhusu hili!
Kwa haraka haraka mimi naona huyu bwana hafanyi kazi kabisa kwenye yale maeneo, hivyo anaona aibu kuoa.
Umeambiwa alikuwa na chuma chake toka Lesotho; angekuwa hafai asingeimport toka Maseru!!
 

boma2000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2009
Messages
3,284
Likes
158
Points
160

boma2000

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2009
3,284 158 160
Botswana President Khama Ian Khama, a retired army general, has numerous medals on his chest. But he doesn't have a ring on his finger.


The 57-year-old leader is probably African's highest-profile bachelor. Botswana could be among the few African countries – if any – without a First Lady..........................
]
Vipi kampata huyu mwenza wake
 

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,843
Likes
71
Points
145

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,843 71 145
Simply... he is not into women. I am not surprising with it, I have seen countries with no first lady.
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,557
Likes
5,357
Points
280

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,557 5,357 280
Well Sr Bachelor..si lazima...kuna ushahidi wa kimazingira unaomwelezea a retired US Secretary of State- Rice kutokua na mume though she has numerous academic excellency...hata mimi ngoja nizeeke zeeke kwanza!
 

RealMan

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
2,356
Likes
176
Points
160

RealMan

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
2,356 176 160
duh ningejitosa ila size yangu imeniangusha...lol
ila na yeye 57????alikuwa anafanya nini muda wote?mchakachuaji no1???
may be he is too choosy....:embarrassed:
Fab mbona hujachelewa mwanakwetu!
Jaribu bahati yako umri wake sio tatizo so long as mashine inapiga mzigo
 

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,859
Likes
892
Points
280

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,859 892 280
NDOA sio lazima ili uongoze watu wako vema ni marais wangapi akiwamo JK, ZUMA na MSWATI wana wake kibao lakini uongozi wao hauwezi kufananishwa na huyu jamaa wa Botswana some times not all the times baadhi ya wanawake wanachangia kuboronga kwa waume zao katika mambo ya kiuongozi, mfano lucy kibaki, grace mugabe na MS.
 

Matarese

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2009
Messages
521
Likes
13
Points
35

Matarese

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2009
521 13 35
Hapa tunaona mfano wa watu wanaochagua mtu kwenye ofisi ya umma kutokana na utendaji wake wa kazi, kwa uhakika huyu bwana angekuwa bongo asingepata uraisi kwani watu wangemshikia bango tu kuwa hana mke.
 

Forum statistics

Threads 1,203,985
Members 457,048
Posts 28,136,947