Botswana: First African country to cut ties with Libya

Botswana: First African country to cut ties with Libya

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Botswana cut diplomatic ties with Libya

w510.jpg

Botswana has cut diplomatic relations with Libya in the wake of the country's crisis.
Botswana's foreign minister, Phandu Skelemani, told BBC Focus on Africa's Sophie Ikenye why his government had decided to take this action.

"When Africa is burning and the African Union is silent you begin to wonder whether this Organization is serious" - Phandu Skelemani

You can listen to the whole interview here:
 
"When Africa is burning and the African Union is silent you begin to wonder whether this Organization is serious" - Phandu Skelemani

I real like this comment, sijui waafrica tumelogwa wote kimyaaa!!!!
 
Wanaogopa sasa watachacha kwa sababu Gadaffi alikuwa anachangia fungu kubwa la fedha AU kila mwaka!
 
well done botswana sasa tuone kama akina jk watafuata ama wataendelea kubusu makalio ya ghaddafi.
 
Wanaogopa sasa watachacha kwa sababu Gadaffi alikuwa anachangia fungu kubwa la fedha AU kila mwaka!

Si alitaka waungane. Rais mwizi alipewa magari unafikiri atasema nini? Na bado wako hao wengine wanashabikia tuungane na manyang'au.
 
"When Africa is burning and the African Union is silent you begin to wonder whether this Organization is serious" - Phandu Skelemani

I real like this comment, sijui waafrica tumelogwa wote kimyaaa!!!!

Hawajalogwa wote wanafanana na Gadhafi kwenye uongozi wao. Wanaogopa wakitoa tamko litakuja kuwabana wao siku za usoni. Kwa hiyo ni bora wakae kimya.
 
Botswana ni nchi yenye viongozi makini na wenye kujali nchi yao na wananchi wao, Sishangai kwa hilo kwani hata Mugabe aliuonja moto wa Botswana. Viongozi wa Botswana ni wenye busara na hekima kuliko ma-criminal wote wanaijifanya viongozi kumbe ni wanafiki kama Fisadi wetu Kikwete ni Mnafiki asiye na haya. Botswana ni nchi inayoheshimika kuliko nchi zote Africa.
 
JK avunje uhusiano wakati Nyumba za Kilosa hazijakamilika? sahau ndugu ataugulia kimoyomoyo
 
Back
Top Bottom