BoT yatangaza Noti mpya

BoT yatangaza Noti mpya

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
744
Reaction score
660
Kuanzia Sasa kutakuwa na maboresho katika noti zetu hapa Tz, Kama zinavyojieleza kwenye picha.Source BOT.
IMG_20200403_224937.jpg
IMG_20200403_224932.jpg
IMG_20200403_224927.jpg
IMG_20200403_225838.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Habari wakuu,
Katika hali isiyo ya kawaida leo nimeenda tigo pesa kufanya muamala pesa niliokabidhiwa na mtu wangu wa karibu kama malipo ya jambo kwa mshangao mkubwa noti nilizotoa za elfu10 tatu dada wa tigo pesa akaniambia hizi fedha ni bandia na zipo nyingi kama hizi kwa Sasa nikajiuliza kweli ndugu yangu mimi naemjua anaweza kunipa ela bandia kwa hasira nikampigia simu nikihamaki ila mara mbili mbili nikinusa noti zina harufu ya fedha kwa hasira nikampigia mshkaji baada ya kumwambia kwa mshangao akaniambia skuizi na mimi ni mjinga ametoka ku draw pesa ATM mda sio mrefu kwahyo ATM sikuizi wanaweka fedha bandia. kiukweli sipo comfortable na hizi fedha kwa sasa mpaka nipate uhakika zaidi wa kuzitumia kwa usalama wangu.

Rai yangu kwa serikali kupitia wizara husika, Kama kweli hizi fedha ni halali nitoe wito na rai kwa serikali kupitia wizara husika naona ni vyema inabidi kabla ya kubadili kungekuwepo na utaratibu ili watumiaji wafahamu mabadiliko.

Na kama sio fedha halali basi serikali iwe makini kwenye hili maana huwezi kutofautisha kwa urahisi huu mfanano. Utofauti unaonekana kwa haraka kwenye utepe uliopita pembezoni kulia. N.B Angalia sign ya waziri&Gavana huenda there is changes.
IMG_20200403_181631_926.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
Katika hali isiyo ya kawaida leo nimeenda tigo pesa kufanya muamala pesa niliokabidhiwa na mtu wangu wa karibu kama malipo ya jambo kwa mshangao mkubwa noti nilizotoa za elfu10 tatu dada wa tigo pesa akaniambia hizi fedha ni bandia na zipo nyingi kama hizi kwa Sasa nikajiuliza kweli ndugu yangu mimi naemjua anaweza kunipa ela bandia kwa hasira nikampigia simu nikihamaki ila mara mbili mbili nikinusa noti zina harufu ya fedha kwa hasira nikampigia mshkaji baada ya kumwambia kwa mshangao akaniambia skuizi na mimi ni mjinga ametoka ku draw pesa ATM mda sio mrefu kwahyo ATM sikuizi wanaweka fedha bandia. kiukweli sipo comfortable na hizi fedha kwa sasa mpaka nipate uhakika zaidi wa kuzitumia kwa usalama wangu.

Rai yangu kwa serikali kupitia wizara husika, Kama kweli hizi fedha ni halali nitoe wito na rai kwa serikali kupitia wizara husika naona ni vyema inabidi kabla ya kubadili kungekuwepo na utaratibu ili watumiaji wafahamu mabadiliko.

Na kama sio fedha halali basi serikali iwe makini kwenye hili maana huwezi kutofautisha kwa urahisi huu mfanano. Utofauti unaonekana kwa haraka kwenye utepe uliopita pembezoni kulia. N.B Angalia sign ya waziri&Gavana huenda there is changes.View attachment 1408165

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio yako bandia. Ule mstari wa dash kule pembeni unaanzia juu sawa na maandishi BENK KUU YA TANZANIS na chini hauingiliani na tarakimu 10000
 
Habari wakuu,
Katika hali isiyo ya kawaida leo nimeenda tigo pesa kufanya muamala pesa niliokabidhiwa na mtu wangu wa karibu kama malipo ya jambo kwa mshangao mkubwa noti nilizotoa za elfu10 tatu dada wa tigo pesa akaniambia hizi fedha ni bandia na zipo nyingi kama hizi kwa Sasa nikajiuliza kweli ndugu yangu mimi naemjua anaweza kunipa ela bandia kwa hasira nikampigia simu nikihamaki ila mara mbili mbili nikinusa noti zina harufu ya fedha kwa hasira nikampigia mshkaji baada ya kumwambia kwa mshangao akaniambia skuizi na mimi ni mjinga ametoka ku draw pesa ATM mda sio mrefu kwahyo ATM sikuizi wanaweka fedha bandia. kiukweli sipo comfortable na hizi fedha kwa sasa mpaka nipate uhakika zaidi wa kuzitumia kwa usalama wangu.

Rai yangu kwa serikali kupitia wizara husika, Kama kweli hizi fedha ni halali nitoe wito na rai kwa serikali kupitia wizara husika naona ni vyema inabidi kabla ya kubadili kungekuwepo na utaratibu ili watumiaji wafahamu mabadiliko.

Na kama sio fedha halali basi serikali iwe makini kwenye hili maana huwezi kutofautisha kwa urahisi huu mfanano. Utofauti unaonekana kwa haraka kwenye utepe uliopita pembezoni kulia. N.B Angalia sign ya waziri&Gavana huenda there is changes.View attachment 1408165

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii noti yako 👆 na yangu 👇
1585972921182105861405.jpg
Ukiangalia kwenye huo utepe hapo kulia na saini ya waziri wa fedha na gavana... kuna utofauti,
Mkuu Wewe ndio utakua umepigwa sio mimi..😂😂
 
Back
Top Bottom