BoT yakanusha kuchapisha noti mpya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Bank of Tanzania denies printing new Tanzania shilling notes to fund budget deficit

E7B9E56B-5D7D-4907-ACE6-785519CA6F9E.jpeg

E2FB2EE9-EA20-4C42-8D9E-8EAE9E2F4680.jpeg


Habari zaidi, soma=>Serikali imeongeza Deni la ndani kwa TZS 1.5T kati ya Mwezi Mei na Juni 2018: Ni ‘overdraft’ ya BoT kwa Serikali? BoT imechapisha Noti mpya? - JamiiForums
 
Asante mitandao ya kijamii, maana bila tv,redio na magazeti bado serikali inatolewa jasho.

Naiasa serikali kuwa kushindana na teknolojia sawa na kufukuza upepo...

Serikali ikitaka kudhibiti taarifa hizi izuie smartphone kuuzwa Tanzania.
Au mitandao yote izimwe turudi enzi za ujima
 
Mbona wanapiga blah blah tu...ndo maana tulisema kumtoa "mbishi" Prof.Ndulu na kumleta kondoo wa kafara Prof.Luoga ni hatua ya makusudi ya kuuzika uchumi wa nchi
kweli kabisa, this man hata sio mwana uchumi, hakuna banki unia inaongozwa na mtu ambae hajasomea uchumi kaa huyu wa bot, hii ilikuwa plan ya huyu magufuli sasa uchumi umeboromoka kabisa kaka
 
Back
Top Bottom