BOT kuja na noti mpya ya elfu kumi

He makubwa haya!, kwani Picha ya Nyerere inahusiana vipi na ubora wa fedha, mpaka tuingie gharama kubwa kuchapisha manoti mapy?. AU WANATAFUTA PESA ZA UCHAGUZI MKUU?
akili zako ni nyingi na zimenyooka sema huziamini umeziegemeza kwenye swali.upo sahihi kabisa
 

Na wenye akili zao za kutosha watakuamini...eti sababu ni picha ya Mwalimu....
 
akuna kitu hapo wanataka kupiga tu pesa( kodi za wananchi) hiyo siyo sababu ya kubadilisha note ya 10,000/
 
Tatizo BOT imevamiwa hakuna professional humo wamepeana tu ajira na watoto wao ndo maana wanachakachua kila siku wanaibuka na yao.
Duh tumechokaaaaaaa.
 
Wabongo bwana.......Serikali inataka kuboresha noti nyie mnasema ni ufisadi.

Tubadilike....wakati ni huu
 

sababu rasmi haikutolewa lakini iko wazi,1) ni kupata magunia ya noti za kuhonga wakati wa uchaguzi,2) ni 10% kwa waandikaji na wasimamiaji wa mradi huo
 
@WAZEE WA DILI wanapanga ulaji wao //@wasibuguziwe ktk mipango na walindwe pia agizo! @n.b: hivi huchapishwa bure?
 
Wangefanya la maana kama wange anzisha noti ya laki moja , pamoja na ya elfu hamsini
 

Kwahiyo wakichapisha noti mpya ndio thamani ya shilingi itaongezeka? sasa huyu Prof Ndulu ana tofauti gani na Professor Maji marefu?

Kwa mtu anayefahamu hivi ni gharama kiasi gani za kubadilisha/kuchapisha noti mpya?

Nimezunguka nchi nyingi duniani sijawahi kuona nchi hata moja inayotumbia noti za aina mbili tofauti zenye thamani sawa 500/-, 1,000/- 2,000/-

Hili nao NI AJABU LA SABA LA DUNIA NA LINAPATIKANA TANZANIA PEKEE
 
Elfu kumi ya blue ndio ilikuwa bomba. Unashika hela unajiona umeshika hela. Hizi za sasa fafa.

Acha tutumie Grants and Benjys tu.
 
Its time for picha ya JK iwekwe tz haitakuja pata rais mwingine wa kukumbukwa kama yeye
 
​Mmmmhh nasusa harufu ya UFISADI!
 
Ccm wanatafuta pesa ya uchaguzi hakuna lolote,watajaza noti mtaani kama njugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…