BOT inafanya MNADA mida hiii!!

Ofisi ya serikali inafanywa eneo la mnada,tena banki kuu.mwisho wa siku watafanyia viwanja vya ikulu.hii ndio tz
 
Yeh! Yani hii nchi nadhani siku tukiamua sheria za China ziwepo hakika watanyongwa wengi sana!!

jiulize hao wanaofanyia hapo mnada wanamlipa nani,na kiasi gani na zinakwenda kwa nani na zinafanya matumiz gani. Na kama ni vifaa vya serikali vinapigwa mnada tena huenda ni vya mbao za mninga, kureplace vya mchina,jiulize ni ofisi ngapi za serikali mikoani hazina viti wala meza za kutosheleza, watu wanasubiri au kupata huduma huku wamekalia mabench?
 
Wauze na majengo tushachoka na upuuzi daily
Kama juu kumeoza ata chini hali itakuwa mbofu throughout!
 
Nategemea muda si mrefu tutasikia habari za shoo ya Fiesta ikulu.
 
du bongo salut! Itakuwa watu wa lumumba hao ndio wanamichezo ya kuingiza watu mikenge.
Watu watajua ni mali ya bot, lakini kulikuwa na matangazo ya minada ya kuuza mali za bot ktk magazeti.
 
du bongo salut! Itakuwa watu wa lumumba hao ndio wanamichezo ya kuingiza watu mikenge.
Watu watajua ni mali ya bot, lakini kulikuwa na matangazo ya minada ya kuuza mali za bot ktk magazeti.
Kumbe kulikuwa na tangaazo? Ni gazeti gani lilitangaza mkuu au magazeti ya uhuru na mazalendo?
 
Mkuu nifahamishe kama kila jumamosi huwa kuna mnada wa aina hiyo!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom